The Other Half (Simulizi)

The Other Half (Simulizi)

The Bold

Naona unajaribu nje ya box!

Bado nawaza hii simulizi itakuwa vipi?

Naona kama itahitaji nguvu na akili nyingi manake visa yake vingi ni vya kufikirika

Lakini pia bado niko naangalia hiyo picha! Kuna jambo najaribu kung'amua..


Ushafika Zurich?
Dah ofcoz hii itahitaji kutuliza ajili haswaaa.. Maana ni kitu cha nje ya box kabisa!


Hahahaha nimeelewa why umeniuliza kuhusu Zurich baada ya kuona hiyo Picha
 
I wish ungeniambia haya kupitia lile 'jisauti' lako...uwiiiiiiii

Of course lazima niipende baby,viwango vyako vya simulizi sio vya nchi hii.
Nakufananisha na waandikaji script wa Korean film industry
Aww!! Thank you love..
Unanifanya nizidi kutamani kuwa bora zaidi!!
 
Pamoja sana Mkuu..

Nifah naona siku hizi ameshazoea kuwa namficha simulizi na anaziona pale tu ninapotaka kuziweka.. Mwanzoni alikuwa ananunaaaaa hahahahah ila now hatamani hata kuona kabla.. Anainjoi arosto ya kusubiria
Yani tena usinikumbushe ulivyonitesa,nilitaka kukupa 'adhabu' basi tu venye unanisahaulishaga mengi
 
I wish ungeniambia haya kupitia lile 'jisauti' lako...uwiiiiiiii

Of course lazima niipende baby,viwango vyako vya simulizi sio vya nchi hii.
Nakufananisha na waandikaji script wa Korean film industry
Mama yeyoo upo?
 
What I believe kuna maisha zaidi ya haya tuliyonayo katika hii dunia ni vile uwezo wa binadamu umefichwa na kuna njia za kujua lkn how" huu mjadala napendaga sana kuongelea nikikaa na mshua huku tukiangalia juu bt at the end hua tunasema God is Great

"Call to me and I will answer you and tell you great and unsearchable things you do not know" Jeremiah 33:3

Mkuu The bold nasubiri kwa hamu hyo simulizi
 
Back
Top Bottom