The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

wakuu hivi mnajua kuwa this year 2012 is the masonic official year in which the NEW WORLD ORDER CONSPERANCY is going to be implemented?
they have an agenda to reduce population in the world,the question is how they r going to reduce,is through killing?or just through insisting on family planning?think big

Leo miaka 2 imepita hakuna kitu kipya kilichotokea Mwaka 2012 ambacho hakikutokea katika miaka mingine yoyote ile! Acheni uongo na kutisha watu, hakuna jipya litakalotokea katika dunia yetu hii ambalo halijawahi kutokea huko nyuma! Nyie ndio wale mliotangaza kuwa Mwaka 2000 (Y2K) ndio ungekuwa mwisho wa dunia, leo miaka 14 sasa imepita bado maisha yanasonga mbele bila hata ya dalili moja ya kuufikia huo mwisho! Wahubiri wengi tu duniani na madhehebu maarufu yamekuwa yakitabiri mwisho wa dunia lakini badala ya dunia wanayoitabiria kufikia mwisho wake wao ndio hufikia mwisho wao na haraka dunia huwasahau mara moja na kwa uhakika! Sasa mnakuja na NWO, hivi Waislam walivyo wengi na wabishi hivyo mtaweza kweli kuwalazimisha wakubali dini yenu hiyo? Na Wachina je, ambao wengi wao hata uwepo tu wa huyo mungu mnayemhubiri hawaamini, nao mtawabebea mbeleko gani? Hizi ni ndoto za Abunuwasi I can assure you!
 
Hujui unalobisha uliza ueleweshwe

Leo miaka 2 imepita hakuna kitu kipya kilichotokea Mwaka 2012 ambacho hakikutokea katika miaka mingine yoyote ile!

Sijaleta habari za utabiri kuhusu mwisho wa dunia

Acheni uongo na kutisha watu, hakuna jipya litakalotokea katika dunia yetu hii ambalo halijawahi kutokea huko nyuma!

Nani kazungumzia yatakayo tokea hapa, tunasema kuhusu mpango wa kuitawala Dunia na si vinginevyo. No ndoo maana inaitwa NWO ma sio Freemason.

Nyie ndio wale !mliotangaza kuwa Mwaka 2000 (Y2K) ndio ungekuwa mwisho wa dunia, leo miaka 14 sasa imepita bado maisha yanasonga mbele bila hata ya dalili moja ya kuufikia huo mwisho!

Usichanganye mambo ndg yangu, ndoo maana unaanza kutoa mapovu hapa kuwa focused na NWO

Wahubiri wengi tu duniani na madhehebu maarufu yamekuwa yakitabiri mwisho wa dunia lakini badala ya dunia wanayoitabiria kufikia mwisho wake wao ndio hufikia mwisho wao na haraka dunia huwasahau mara moja na kwa uhakika! Sasa mnakuja na NWO, hivi Waislam walivyo wengi na wabishi hivyo mtaweza kweli kuwalazimisha wakubali dini yenu hiyo? Na Wachina je, ambao wengi wao hata uwepo tu wa huyo mungu mnayemhubiri hawaamini, nao mtawabebea mbeleko gani? Hizi ni ndoto za Abunuwasi I can assure you!

Acha kuumiza taifa letu kwa fikra za kidini utaua wengi, Suala la NWO halina dini hata hivyo kwenye post yangu nilikutaka uulize maswali nikujibu na sio kufanya attack za kidini.
 
Hujui unalobisha uliza ueleweshwe

Ameshakujibu jamaa hapa chini, mimi nilikuwa bize kidogo.

Leo miaka 2 imepita hakuna kitu kipya kilichotokea Mwaka 2012 ambacho hakikutokea katika miaka mingine yoyote ile! Acheni uongo na kutisha watu, hakuna jipya litakalotokea katika dunia yetu hii ambalo halijawahi kutokea huko nyuma! Nyie ndio wale mliotangaza kuwa Mwaka 2000 (Y2K) ndio ungekuwa mwisho wa dunia, leo miaka 14 sasa imepita bado maisha yanasonga mbele bila hata ya dalili moja ya kuufikia huo mwisho! Wahubiri wengi tu duniani na madhehebu maarufu yamekuwa yakitabiri mwisho wa dunia lakini badala ya dunia wanayoitabiria kufikia mwisho wake wao ndio hufikia mwisho wao na haraka dunia huwasahau mara moja na kwa uhakika! Sasa mnakuja na NWO, hivi Waislam walivyo wengi na wabishi hivyo mtaweza kweli kuwalazimisha wakubali dini yenu hiyo? Na Wachina je, ambao wengi wao hata uwepo tu wa huyo mungu mnayemhubiri hawaamini, nao mtawabebea mbeleko gani? Hizi ni ndoto za Abunuwasi I can assure you!
 
New World Order basically ni Consipiracy, na haina strong mechanism to apply ktk kila nchi. New World Order ya sasa hivi ni kuwa na system moja, globalization, capitalism, reduce world population, nk. Lakini mpaka sasa hivi, NWO imeshafeli ktk kila nchi.
new world order ni mkakati mkuu halisi unaoandaliwa , hata aliyekuwa rais wa iran ahmednejan aliwahi kukaririwa akisema kuwa anaunga mkono juhudi za kuunda NWO kwakuwa itasaidia kuondoa ubabe wa marekani(USA bullying) dhidi ya nchi nyingine.
link: Ahmadinejad says new world order needed to get away from US dominance in interview | Fox News

At U.N., Ahmadinejad Lays Out Vision Of New World Order : The Two-Way : NPR
Iran's Ahmadinejad pushes new world order to replace 'U.S. bullying' ahmadinejad_custom-d5b702ac3232cba6a66ce9bb749e311966045938-s6-c30.jpg

nukuu;
God willing, a new order will come and will do away with ... everything that distances us," Ahmadinejad told The Associated Press in an interview Tuesday, speaking through a translator. "All of the animosity, all of the lack of sincerity will come to an end. It will institute fairness and justice."

He said the
world was losing patience with the current state of affairs.
"Now even elementary school kids throughout the world have understood that the United States government is following an international policy of bullying," he said. "I do believe the system of empires has reached the end of the road. The world can no longer see an emperor commanding it."
 
New world order has
something to do with christianity,a group of people with their own
agenda are trying to use writings in bible to try to control events in
the world to make their agenda come true,and the agenda is to create a
ONE WORLD GOVERNMENT.

Mkuu Elungata, ebu funguka a bit more. Why Christianity? Kwanini isiwe dini ya Buddha, Ba'hai au wengine?
 
Last edited by a moderator:
1) Abolition of all ordered governments
2) Abolition of private property
3) Abolition of inheritance
4) Abolition of patriotism
5) Abolition of the family
6) Abolition of religion
7) Creation of a world government.....
pia mambo ya uzazi wa mpango yapo hapa.
 
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya mfumo mpya wa dunia ? (New world order). Kwa kutamka tu unaonekana ni mkakati wenye tija na una lengo la kutafuta ubinadamu wa kweli kati ya binadamu. Lakini kiuhalisia na hasa ukizingatia mkakati wake wa hawa watu wa ulaya kututawala ,basi mfumo huo unakuwa na kiasi kikubwa kabisa cha upinzani kwa mungu . Mfumo huu mpya unamtukuza zaidi Lucifer ambae ni Shetani Mkuu,

Katika kusoma vyanzo mbalimbali vya habari ninakuja na historia kamili ya vyanzo vya jamii hizi za siri lenye lengo la kusimamia mfumo huu mpya wa dunia.

Mwaka 1773 Meyer RorthChild aliwaalika marafiki zake kumi na wawili katika mjadala wa kutaka kutawala dunia kiuchumi. Hivyo mkakati huo ulilenga kuunganisha assets (Mali) za watu hawa kama mtaji wa kuunda mkondo wa kinyonyaji kwenye uchumi wa Dunia. Katika kikao hicho Meyer alitamka kwamba amempata mshirika madhubuti katika mpango huo.Alimtaja kama kijana jasiri,mwenye upeo na akili vilivyo ambae angeweza kuongoza umoja huo . Huyu hakuwa mwingine bali ni Adam Weishaupt (baadae ndie alienzisha jamii ya siri ya Illuminati)

Tarehe 1, mwezi wa tano mwaka 1776, Weishaupt Alianzisha jamii ya siri ya Order of illuminati .Weishaupt kitaaluma ni Mwanasheria aliebobea katika sheria za kanisa ‘Cannon Law’ na ni mhitimu katika Chuo cha Ingolstad kilichopo Bavaria ambayo ni sehemu ya Ujerumani. Jamii hii ya The Order of Illuminati ilikuwa na malengo yafuatayo :

ü Kuachana na mfumo uliozoeleka wa kiserikali
ü Kuachana na taratibu za kurithi
ü Kuachana na utaratibu wa Dini katika dunia
ü Kuunda serikali moja ya Dunia
ü Kupinga jinsi yeyote ya harakati katika dunia ( Abolition of Patriotism )

Mwaka 1782 Weishaupt aliamua kuunganisha nguvu na Freemasons na katika mkutano uliofanyika Wilhelmsbad ,mheshimiwa mmoja aliekuwa anaitwa Comte de Virieu alitoka kwenye mkutano huo akiwa anatetemeka na hofu kubwa . Alipoulizwa madhumuni na siri zilizozungumzwa alisema kama ifuatavyo ‘Siwezi kudhizihiri siri hizo mbele yenu lakini kubwa nalotaka kuwaambia ni kuwa mambo haya ni makubwa na dhahiri kuliko mnavyodhania’ Hivyo inaonekana katika kikao hicho mambo mengi yalijadiliwa jinsi ya kunyonga uchumi wa dunia hii na kuuweka mfukoni mwao. Tayari maneno na lengo lao likawa ni kwamba ‘Tuhakikishe tunaushikilia uchumi wote wa dunia na pindi tukifanikiwa hilo hatutajali kamwe nani anatengeneza Sheria’ Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba watakuwa na uwezo wa kumnunua yeyote yule ataekuwa anakinzana na malengo yao katika dunia yetu .Mpigapicha wa Comte anasema kwamba Comte aliweza kuongelea Freemason kwa shaka kubwa sana.

Kabla sijaendelea na mtirirko huo wa Historia ya New World Order naomba niende ndani kidogo ili tuweze kumfahamu huyu Weishaupt na ana ushawishi gani katika jamii hizi za siri .

Alizaliwa February 6, 1748 na ni motto kutoka kwenye familia ya kiyahudi na baba yake alikufa mwaka 1753. Kijana huyu aliingia katika mfumo wa Kikatoliki akiongozwa na Baron Johann Adam Lckstatt ambae alimuingiza katika jamii ya Wajesuits.Mwaka 1742 Lckstatt alipelekwa na Jesuits akasimamie chuo chao na majukumu ya msingi aliopewa ilikuwa ni kuweka mifumo muhimu katika uendeshaji wachuo hicho .Alistaafu mwaka 1765 lakini hata baada ya kustaafu bado Lckstatt aliendelea kuwa na ushawishi mkubwa kwenye sera na mwelekeo wa Chuo hicho .Weishaupt kwa upande wake aliendelea na kitaaluma na baadae akawa Padri wa Shirika la Jesuits .Akapata kuingia kwenye library ya Lckstatt na huko akasoma vitabu mbalimbali . Mbali na maktaba hii ya Lckstatt Weishaupt akapata pia kusoma na hasa akashawishika sana na kazi za French Philosophers na hii ikampelekea kusoma Sheria,siasa ,uchumi na historia.Moja ya mwanafalsafa aliyemvutia ni Voltire (1694-1778) na ni huyu Voltire ambae alikuwa anapinga kanisa na aliwai kuandika barua kwa King Fredrick 11 ( Great Mason ) na katika moja ya maandishi yake ambayo yanapinga na/au kupanga kudhoofisha kanisa ni kama alivyoandika ‘Lastly, when the whole body of the Church should be sufficiently weakened and infidelity strong enough, the final blow (is) to be dealt by the sword of open, relentless persecution. A reign of terror (is) to be spread over the whole earth, and...continue while a Christian should be found obstinate enough to adhere to Christianity.’ Inaaminika na/au kuhakikishwa kwamba maandiko haya ndiyo yaliyomplelekea Weishaupt kuwa na azma ya kuliharibu kanisa .Akaenda kusoma Ufaransa na kukutana na Robisphere ( baadae robisphrere ndie alieongoza French Revolution ),akajenga urafiki na watu wa nafasi za juu katika’ French Royal Court ‘ na katika muingiliano huu ndipo inaaminika kwamba Weishaupt alikuwa anaingizwa taratibu kwenye ushetani .

Akafanya yafuatayo katika muingiliano huu wa kishetani

ü Alisoma maandiko mbalimbali ya kupinga kristo yajulikanayo kama Maniech ambayo yanahusika sanasana kama kutabiri nyota na mazingaumbwe.
ü Akatambulishwa kwa Mganga mashuhuri wa kipindi hicho huko Misri ambae alijulikana kama Colmer . Akasoma kazi za Essenes na akapata nakala za ‘Kalaba’ ambao ni ufunguo muhimu wa jinsi ya kuwatumia majini katika kufanya mazingaumbwe .
ü Alisoma pia maandiko mbalimbali ya Ki–freemason na akapanga kuanzisha jamii inayofanana na hiyo .
ü Akatambulishwa kwa RothChilds ( Ambao wanadhaniwa pia kwamba ni waabudu mashetani ) , wakamwamuru aachane na kanisa katoliki na kuungana na jamii za siri nyingine katika kutekeleza mkakati wa ‘ The New World Order’
Kwa historia hii kwa sasa tunapata mwanya wa kumjua Weishaupt ni nani na anasimamia nini . Ametumia muda wake mwingi kupata mafunzo ya kishetani . Hivyo wakati tutakapofanya majumuisho ya jumla ya Illuminati na Freemason tutajua kwa dhati kwamba waanzilishi wake walisimamia nini na hivyo Jumuiya hiyo itakuwa inasimamia nini .

End of part one:

Katika mwendelezo wa simulizi hii tutaona hawa jamaa wanashiriki kiasi gani katika kuweka mifumo ya kiuchumi katika dunia yetu .ujanja wanaotumia kutengeneza vita mbalimbali n.k

( Blesses is he who reads and those who hear the words of this prophecy, and keep those things which are written in it : for the time is at hand ) – Relevation 1:3

part two wapi tunasubiri
 
Kwnini Mungu muweza wa yote anaacha mambo yanaenda hivi? nikisema hayupo nimekosea?

mojawapo ya allegations kubwa ambazo Hallel alizitumia kupata kundi kubwa la wafuasi hadi wakaasi huko mbinguni ni the so called "freedom".Aliwaambia malaika wenzake kwamba kama ELOHIM alikuwa huru kufanya uumbaji bila kuingiliwa,akiwa peke yake bila Mungu mwingine,basi inampasa na yeye kuwapa uhuru kama huo viumbe aliowaumba ili wafanane naye kwa kila kitu,kama yeye ni Mungu,nao pia wanapaswa kuwa Miungu.Melchizedeks walichukizwa sana na wakataka kumtwanga Hallel pale pale lakini Elohim akawaambia wamwache.Hallel akapewa uhuru na akautumia kuunda majeshi ya malaika ya kutaka kumpindua Elohim.Kumbe shida yake haikuwa uhuru,wala kufanana na Mungu tu,bali kuchukua nafasi ya Mungu,kumnyima Elohim haki yake ya kuwa Mungu wa yote,muumba wa yote,kwa sababu ya "tamaa".Tamaa ilizaliwa ndani ya nafsi ya malaika huyu mkuu,aliyependelewa kila kitu na Mwenyezi Mungu,lakini hakuridhika na nafasi yake,akataka uhuru zaidi akapewa,hakuridhika,akataka kuchukua nafasi ya Elohim,hapo akafikia ukomo wa kufuru yake,akaharibu "balance of nature",akafukuzwa mbinguni,yeye na malaika wenzake wengi kutoka brigade yake,wakatolewa katika nafasi zao.Alipewa nafasi ya kutubu,lakini badala ya kuitumia vizuri,yeye akatumia tena uhuru huo kuongoza race nyingine ya viumbe wa Elohim wanaoitwa binadamu,kumwasi Mungu,na kutaka kubadili ibada ya binadamu toka kwa Elohim kwenda kwake Hallel na wenzie.Wakati Elohim akijaribu kumrudisha kundini mwanadamu baada ya kuasi kwa mara ya kwanza,tayari ile "tamaa" ilishaleta sumu kubwa mbinguni.Another rank of angels called Jedi(watchers au malaika walinzi),ambao kazi yao kuu ilikuwa kulinda, na kuongoza binadamu katika njia za haki hadi wafikie kiwango cha juu cha utimilifu wa kiungu waliopaswa kuufikia taratibu kwa kujifunza,nao wakawakiwa na tamaa ya kuishi kama binadamu kwa kujigeuza katika maumbile yao na kuwaongoza binadamu vile walivyotaka wao kinyume na maelekezo ya Elohim.Hallel na wenzake akina beelzebub,Leviathan n.k ambao sasa wanaitwa draconians kutokana na maumbile yao kulaaniwa na kuwa kama majoka,wakaungana na jedis na kuanzisha empire kubwa duniani ili iunganishe draconians,binadamu,jedis na viumbe fulani wapya walioitwa giants,hao wote wawe jeshi moja na kujiandaa kupambana na Elohim for the second time.Lakini palitokea tatizo,hawa giants walikuwa hybrid wa binadamu na jedis,mchanganyiko ambao ulikuwa imbalance na matokeo yake wakawa lawless ones,wakapambana wao kwa wao,wakapambana na jedis,draconians,humans,wakazaa na viumbe wa asili kama simba,mijusi,chui,ndege n.k na kuongeza matatizo zaidi duniani kwa kuwepo viumbe wa ajabu wasiotawalika.Alibaki binadamu mmoja akiitwa Nuhu ambaye hakutaka kumwasi Elohim na alikuwa pure blood yeye na ukoo wake.Ndipo Elohim akaleta gharika kuisafisha dunia na hybrids na kumtumia Nuhu kuanzisha human race kwa mara nyingine.Lakini Jedis hawakukoma,wakaja tena na kuanza kuzaliana na wajukuu wa Nuhu wasio waaminifu.Wakamuelekeza Nimrod kujenga mnara wa babeli ili wamfikie Elohim.Wakaunganisha nguvu na kuanza kujenga kitu cha ajabu sana kwa msaada wa jedis na hybrids wao.Haukuwa mnara wa kawaida kama wengi tunavyofikiri.There was a very advanced science in it.Elohim akaja kwa mara ya pili this time kuchafua lugha ya viumbe wale wasielewane na shughuli yao ya ujenzi ikaishia hapo.Pia giants waliozaliwa na hybrid wa mbegu ya wajukuu wa Nuhu hawakuwa na maisha marefu na walishindwa kureproduce rapidly kutokana na genetic deffect ambayo Elohim aliweka kwenye DNA ya kizazi kilichofuatia baada ya Nuhu iliyosababisha hata umri wa binadamu wenyewe kupungua.Tokea babeli,palitokea vita nyingi kati ya hybrids na binadamu pure na hasa waisrael waliua hybrids wengi sana katika vita zao.Ilibidi hybrids waende underground ili kujinasua na hostility ambayo binadamu waliitengeneza juu yao.Kwa siri,Hallel,jedis na binadamu waovu both spiritual and physical hybrids,wanaendelea kuendesha mikakati yao ya kuanzisha another assault kwa Elohim.Elohim amewaacha,anataka viumbe wake wote tujifunze,kwamba there is something common btw us and him,ambacho tusipokifuata,tunavuruga balance of nature,na madhara yake ni mabaya,yanayoleta uharibifu na kuondoa the motive behind creation,na hapo Elohim anapata uhalali wa kumharibu yule anayeleta uharibifu huo.Tamaa inapaswa kuachwa to it's maturity stage,ili upatikane uhalali wa hukumu bila kuathiri perception ya viumbe kwa Muumba wao.In fact swali lako linaonyesha Mungu amefanikiwa kukuelimisha,kwa sababu wewe kama kiumbe wake unaona haja ya yeye kumharibu Hallel.Ngojea viumbe wote wafikie stage hiyo uliyopo,hapo hukumu itakuja,tena ataileta Hallel kwa vita ya Harmageddon,hatapona na huo utakuwa mwisho wa kufuru!New world order is just a face lift name,this is an ancient plan started by Hallel in heaven but defeated to the gates of Pandemonium,again defeated during Noah's days,babylon,Rome and now...Harmageddon!
 
pia mambo ya uzazi wa mpango yapo hapa.

In search hakuna uzazi wa mpango hiyo ni just public language lakini real language yao ni Abolition of families ndo maana unaona ni jinsi gani tembe za uzazi zinavyowaathiri wanawake kizazi mpzka utasa kabisa.

pia unaona ni jinsi gani wanavyo promote ndoa za ushoga kwani hakuna shoga anayezaa.
 
Well said in some extent but how animals who created by God as the Bible illustrates and the same Bible as you use as the paramount reference of your text contradict each other?

because pretty the Bible expose the creation of beasts is made up by God Himself meanwhile you argue that beasts like lion and others are the hybrids of Hallel and Human being, how comes?
 
Sijaleta habari za utabiri kuhusu mwisho wa dunia

Nani kazungumzia yatakayo tokea hapa, tunasema kuhusu mpango wa kuitawala Dunia na si vinginevyo. No ndoo maana inaitwa NWO ma sio Freemason.

Usichanganye mambo ndg yangu, ndoo maana unaanza kutoa mapovu hapa kuwa focused na NWO

Acha kuumiza taifa letu kwa fikra za kidini utaua wengi, Suala la NWO halina dini hata hivyo kwenye post yangu nilikutaka uulize maswali nikujibu na sio kufanya attack za kidini.
Akili yako ndogo sana wewe, ulipozungumzia eti NWO ni mpango wa kishetani ulikuwa una-refer kwenye nini, Siasa, Uchumi, Tamaduni, Mila, Desturi, Historia au Dini? Na unaposema huleti utabiri hapa, hiyo NWO yako ilishatokea huko nyuma au? Kama haijatokea bado, unachokieleza hapa ni nini kama siyo utabiri wa mambo yajayo? Wewe ni genge/dugu moja na Sheikh Yahya? EAC tu yenyewe inataka kuvunjika, sembuse kuwa na Serikali moja ya Afrika Mashariki? Hivi unawajua wanasiasa wewe, au unawasikia? Nani akubali kupoteza identity na madaraka kwenye nchi yake kwa interests za kikundi kidogo kisichojulikana hata mahali kilipo? Muungano wa Zanzibar na Tanganyika tu hapa ni pasua kichwa, tena na wenyewe hauna Serikali moja, sembuse kumuunganisha Mwarabu na Mmarekani tena ukiwalazimisha wote wawe chini ya Serikali moja? Nadhani unaota wewe, peleka upuuzi wako huu kwa wenye akili ndogo kama yako!
 
Nasikitika kujadili na akili inayowaza pweza.

Niletee hiyo post nimerefer huo ushetani usije ukawa unanijibu kitu ambacho sijaandika.

Sometimes tumia vizuri tech hata ku gugo kulikokuja unatapatapa hapa.

Usidhan kuja na lugha za kejeli ukadhani ni hoja na kwamba unaweza ukamfanya mwingne akaogopa na kuacha uendelee kuumia na ujinga ulonao.

NWO haina haideal na dini bt inalenga kuweka tofauti za kidini pembeni na kuwaongoza wote.
 
Hebu tumia akili yako kufikiria sawa sawa na siyo kuacha wengine wafikiri kwa niaba yako, hivi ni Serikali ipi hiyo duniani itakayoundwa iongoze watu wooote wa dunia hii pasipo kufikiria tofauti zilizopo katika masuala mbalimbali yanayowahusu raia wake kama vile dini, tamaduni, mila, desturi, lugha, itikadi, lugha, mirengo ya kisiasa, vipaumbele vya jamii, n.k? Hivi ukichukua vipaumbele, mila, desturi, dini, lugha na itikadi za Wamarekani kwako wewe vinafanana (au hata kama kuna uwezekano wowote ule wa kuvifananisha) na vile vya Iran, Syria, Misri, Tanzania, Lesotho, Msumbiji, Korea Kaskazini, China, Mexico, Tunisia, Falme za Kiarabu, Israel, Palestina au mahali pengine popote pale duniani? Huo uwezekano upo kwa asilimia ngapi? Manake kumbuka kuna nchi zinaongozwa na Serikali za Kidini, kama vile Uingereza, Israel, Iran, Sudan na zinginezo nyingi. Sasa unaposema misingi ya dini itawekwa pembeni na kuifanya hiyo Serikali moja ya Dunia iongoze watu wote kwa usawa unakuwa unatumia kiungo gani cha mwili wako katika kufikiri? Hapa ndipo nilipoona kweli akili yako ni ama ndogo sana au huishughulishi au huitumii kabisa katika kufikiria na badala yake umeamua kuacha watu wengine wafikirie kwa niaba yako na wewe kubaki mropokaji wa yote yale wenzako wanayoyafikiria!
 
Mkuu nimegundua unahitaji kujua jambo hapa, sasa hapa nilipo kuna shuguki nafanya lakini naahidi nitajibu haya maswali leo.
 
Wala sihitaji kujibiwa, ila wewe fanya hivi: Siku ikiundwa hiyo Serikali Moja ya Dunia basi nakuomba uje urudi kwenye uzi huu na uifukue comment yangu hii kisha unisute! Kama sitakuwa hai basi nitakaimisha password yangu kwa mrithi wangu ili ujumbe aupate! Sawa ndugu?
 
Kama unaona jambo haliwezekani mapovu ya nini?

Na kama hautaki kujua haya mambo kwa nn unabisha na ukiahidiwa kupewa evidence unakimbia.

Are you closed mind?
 
Well said in some extent but how animals who created by God as the Bible illustrates and the same Bible as you use as the paramount reference of your text contradict each other?

because pretty the Bible expose the creation of beasts is made up by God Himself meanwhile you argue that beasts like lion and others are the hybrids of Hallel and Human being, how comes?

Mkuu hebu soma tena post yangu,wala hakuna mahali nimesema simba na wanyama wengine ni outcome ya hybridization!Nimesema giants walichanganya mbegu zao(kuzaana) na wanyama wa asili kama Simba,ndege n.k matokeo yake kukazaliwa viumbe wa ajabu sana ambao hawakuwa na order.Kukuongezea nikusaidie,roho za viumbe hao(hybrids) hazikuangamizwa na gharika,bali zile physical forms zao ili wasiendelee kuzaliana.Roho hizo ndizo leo zinatusumbua zikiwa katika temporary deceiption forms kama nyoka,simba mtu,samaki mwenye kichwa cha kenge n.k we call them demons au jinn!ziliachwa ili zitusumbue kama laana ya dhambi ile kubwa,na leo hao jedis wako bize kwenye research za kisayansi kutengeneza tena giants ambao ni perfect kuliko wale wa zamani!kilichowasumbua walishindwa kureplicate perfect human DNA ili kupata mtu ambaye ni binadamu perfect na hapo hapo jedi perfect.Kwa taarifa zilizopo ni kwamba sasa wameshafanikiwa na huyo mtu ndiye anaandaliwa kuwa kiongozi wa dunia chini ya serikali moja.Anaitwa Maduk.Hawa malaika leo tunawaita alliens!Halafu nikurekebishe pia,suala la hybridization waliolianzisha walikuwa jedis chini ya mkuu wao Azazel na sio Hallel!Uasi wa Hallel na Azazel ni events mbili tofauti isipokuwa baadae Hallel alipoona uasi huo wa Jedis,aliamua kuungana nao ili kuongeza nguvu,na hawa majini hadi leo wana classification zao kutokana na lineage yao.Wale wenye asili na dracos(akina Hallel) ni wakubwa sana kwa ranks za kijini maana dracos walikuwa among higher angelic ranks,na hawa hybrids wa jedi wanafuatia,na wale hybrids watokanao na hybrids ni lower ranks etc.Ikumbukwe kuwa malaika waliumbwa tofauti kutokana na ranks zao.Ni vigumu Jedis waende kupambana na Makerubi au maserafi halafu washinde.Inasemekana Hallel na wenzie walipigana na Gabriel na wenzie for 3 days bila mshindi kupatikana,kesi akapewa Michael kerubi mkuu,in hours Hallel akawa defeated vibaya!Hallel mwenyewe haku-mate na binadamu,yeye ni draco tofauti kabisa aliyeumbwa tofauti na malaika wote!Kuna watu wanasema huyo antichrist ndiye atakuwa hybrid wa kwanza na pekee from Hallel himself!I'm not sure about that ila kuna biblical passages zinamzungumzia antichrist wanazitumia kujustify that.Halafu watu wanaposikia jina "malaika" basi picha inayowajia ni sura ya mwanaume handsome,inayong'aa,kavaa kanzu nyeupe,na mabawa mawili meupe!Si malaika wote wako hivyo jamani.Hebu pitia kitabu cha Ezekiel uone viumbe aliokutana nao nabii huyu.Mpaka alizirai kwa jinsi walivyokuwa wanatisha!Maelezo ya Ezekiel juu ya malaika aliowaona yanafanana sana na hizi taswira za alliens wa hollywood movies.Anyway,wafuatiliaji wa mambo wanaelewa the force behind hollywood film industry.
 
Back
Top Bottom