jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
mkuu,naamini nafanya jambo sahihi na mahala sahihi kwa "staili" sahihi. Nikukumbushe tu kuwa kwa hali ilivyo katika dunia yetu ya sasa,kuna wakati tunalazimika kuwa wazi na hasa tunapokemea maovu.Usipoongea wewe unaelijua jambo kwa usahihi kwamba ni baya,atakuja mtu alizungumze jambo hilo baya kwa sifa kama vile ni zuri na hili nimelishuhudia humu humu mitandaoni.Kuna info wars siku hizi mkuu,wake up!Hebu kaa na tv yako fuatilia CNN in a week,hautakosa habari nyingi zenye mwelekeo wa kupublicize ushoga kama kitu kizuri,na hao iliterate minds unaosema wanatazama hizi channels,wanatazama hollywood movies,wanakuwa entertained kwa kila hali kuwa addicted na hivi vitu,kweli kabisa mkuu tukae kimya?tuongee kwa kificho mambo ambayo watu wanapewa "dosage" na media kila siku wayaone mema ilhali ni mabaya na kwa siri yamejaa njama zenye madhara?ndio maana nikasema hivi,ni vema kufunua hata yale ya siri wasiosema hadharani,chungu ni chungu tu,ukimsikia mtu anasema tamu ujue ana njama huyo,pale pale muumbue,waambie watu "hiyo chungu" kwenye platform ile ile anayoitumia kuhadaa watu.atakayefurahia uchungu kwa kuwa umesema ukweli,basi huyo anapenda uchungu tu,hata ungekaa kimya au umdanganye ni tamu,bado yeye angetafuta chungu.Tuokoe hawa wengine wafuata mkumbo ambao ni wengi sana.Wamo humu wanasoma ,wanaelewa positively.
Nilikuambia hivi, Marekani ushoga ni fashion. Tena mtu anayetumbukizwa utakuta ni mwenye umbo kubwa kuliko wale anaowakaribisha kumwingilia. Wanakoingilaiana hupajui, ni picha tu unawekewa mtandaoni na kwenye tv na unashuhudia wakishughulika kiukweli. Watanzania tunapiga kelele mashoga hatutaki! Hubiri dini yenyewe kuwa Tz hatutaki mashoga na tukiwakuta kama Babu Seya tutawafunga. Samahani simsemi Babu Seya kuwa ni shoga kwa sababu sasa hivi unaweza kukutana na mchaga akakusingiizia tu ukafungwa maisha.
Wewe unachofanya ni kufukuza mashoga wa Holywood Tz. Wapi na wapi? Kwanza hawaji huku! Pili sisi hatutumii, ukitumia unaishia kama Babu Seya, upo mdogo wangu. Hizo tv zisikuehushe, acha kuwaangalia wahuni hao ikiibidi, ukiangalia ndiyo ile njia pana unaitafuta mwenyewe. Mbona unasononeka na dhambi ya mtu mwingine?