The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

Niionavyo hii New World Order ipo upande wa uchumi(nguvu za kijeshi na technology ni viwezeshi)
USA, EU, CHINA, USSR, INDIA.
Ushindani mkubwa upo kati ya China na USA. USA bado anamwacha China kwa mbali japo kasi ya ukuaji wa uchumi wa China inamwogopesha ukijumlisha na kukua kwa mahusiano yake na USSR.
EU wanajimwambafai bure,, Brexit imewajeruhi,, ila mkwanja wanao.
India hana washirika wa kutosha,, ugomvi wake na Pakistan unamdhoofisha zaidi yeye.
China wanajenga miundombinu.
Sehem USA analega au kukosea China anatake advantage.

Waafrika tubaki tukisubiri mshindi nani aje aichukue Afrika

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom