The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

Jiandae tu ndugu yangu that is real.Mbona viongozi wakuu wa dunia wanaiongelea sana.Hatuna alternative.
This is incredible, yet so believable...Im looking into this seriously (sceptical though), I strongly recommend that you do as well...

To watch, Pls click on the picture below:

--WanaJF, Je haya ni ya kweli au majungu tupu?!
--Je, kuna yeyote aliyeona CNN wakiongelea hayo au hii yote miujiza ya 'computer graphics' tu?!
--Kama kuna ukweli, je, Muammar Khadafi na wenginewo walio na msimamo sawa kutoka Africa, hoja zao za kuwa na serikali kuu moja ya Afrika ni mmojawapo ya wahusika katika 'one world governmet'?
--Game Theory, natumaini unapenda kuongelea haya mambo, je nasaha zako kwa hili swala ni zipi?
Shukrani.

SteveD.
 
You are not in your right mind if you don't believe this truth.Infact world events prove that.World leaders now talk about it openly.They say it will come voluntarily or by conquest.Even various Popes have openly talked about it and endorsed it.The Bible is open about it.Who are you not to believe.
Wana JF naomba mwenye details zaidi azimwage hapa. Hivi hii New world order au kwa kiswahili kama sijakosea mpango mpya wa dunia, mpango (malengo) yake haswa ni nini? na uko zaidi kisiasa, kiuchumi au kidini. Muasisi wake ni mtu, taifa au bara. :help::scared:
 
Niruhusu nikiite ulichoandika kuwa ni PUMBA ama STOR ZA VIJIWENI
Utaita hivyo sababu husomi biblia nafikiri huijui. Hakuna jambo linalotokea duniani pasipo unabii kutimia toka katika biblia.Mimi nimeandika kwa Ku summarize lakini kila kitu kipo kwenye biblia.
 
Utaita hivyo sababu husomi biblia nafikiri huijui. Hakuna jambo linalotokea duniani pasipo unabii kutimia toka katika biblia.Mimi nimeandika kwa Ku summarize lakini kila kitu kipo kwenye biblia.
We nawe kila ktu bibilia haya niambie nkitaka kupka ugali bibilia inasemaje?
 
Internet imejaa vitu vya kujifunza vyenye kuweza kuwafanya hasa vijana wetu wasio na kazi kujiajiri. Hua nashangaa sana nikiona wakiingia kwenye internet wanatafuta conspiracy theories ndefu kama hizi na kukaa kusoma, watu kweli wana muda wa kuchezea .
 
Utaita hivyo sababu husomi biblia nafikiri huijui. Hakuna jambo linalotokea duniani pasipo unabii kutimia toka katika biblia.Mimi nimeandika kwa Ku summarize lakini kila kitu kipo kwenye biblia.
Sina ulazima wa kuisoma hiyo biblia kwa maana haisaidiii chochote,lakini vipi kuhusu vipofu na viziwi?,wao wataisoma lini na kuielewa lini ?.naamini ipo siku utajua kuwa HAKUNA MUNGU karibu sana kweny maiha haya
 
Na hata ukisoma ukiwaulza maswal watakwambia huna roha mtakatifu hvyo huwez kuelewa hadi uwe na roho mtakatifu. #upumbavu uliokithiri
 
New World Order ni utawala wa mpinga Kristo ambao ambao atatawala dunia kwa muda wa miaka 7 baada ya Yesu Kristo kunyakua kanisa lake. Utawala huo utaendana na chapa 666,ambapo mtu hataweza fanya jambo lolote pasipo kuwa na huyo chapa, aidha kwenye paji la uso au mkono wa kuume. Watu watakokataa hiyo chapa, 666 watauwawa na huo ndio utakuwa ukombozi wao. Mpinga Kristo atakuwa roho ya shetani toka kuzimu ambayo itatekeleza matakwa ya shetani hapa duniani baada ya unyakuo.
Umedanganywa bro
 
Una uhakika?

Rothscniid,Mayer Rothschild alimuaglza Adam Weshaupt kuanzisha Illuminati organization,whlch he did on May Day,1776,I think it was
Kwa hlyo this May Day celebration ambayo inadhaniwa itawakomboa wafanyakazi imeanzishwa na Rothschilds.
Worse still,it was Rothschild himself who gave money to Karl Marx to write the Communist Manifesto.
Lenin and his friends were financed by Western capitalists to overthrow The Tsar.
Mao Zedong was a son of Rothschild,that Rothschild who was in France.
Kwa hiyo,it is all a farce and a big joke. A definite conspiracy to trouble the world
 
Back
Top Bottom