AshaDii internal structure usiijudge please hata kama ni mbaya ila aise naipenda hivyo hivyo
yeah najitambua na ndo maana naisemea bana
Umeeleweka vyema na wala hujachakachua kabisa
Nimeahirisha kua lenient... itabidi ujibu vizuri.... Ngoja nimuite PA.... lol.... Maana ndio kiboko yako!!
Kumbe hii ndiyo ONE THING YOU LOVE THE MOSTalaa kumbe!
Perseverance
sijui kama ndo zaidi na external structure yangu aise naipenda sana
Mhhh don judge me please
AshaDii usiijudge please hata kama ni mbaya ila aise naipenda hivyo hivyo
yeah najitambua na ndo maana naisemea bana
Umeeleweka vyema na wala hujachakachua kabisa
Mr. Steady persistence in a course of action, ngoja nikamuulize shemeji yangu najua yeye atasema ukweli tuYule kimeo ataharibu mambo hapa bana wala usimuite kabisa
Mr. Steady persistence in a course of action, ngoja nikamuulize shemeji yangu najua yeye atasema ukweli tu
Eeh hiyo ndo yenyewe bwana ' Perfectionist'Kumbe hii ndiyo ONE THING YOU LOVE THE MOST
Nothing! nothing at all!Keep it up Willbald (BTW What happened to Kutcher??)
Mwayego ni baada ya kuelewa mapana ya mjadala ndo ikabidi tu niitikie hivo.Yaani kutokuona kwangu siku nyingi imenibidi nikupe LIKE hali sijaelewa ulicho andika.......lol... Hebu taja basi!
Nipo bwan' Rocky.... Nasoma mnavojipendelea!BHT upo
Nimekumiss mbaya
Lol nachakachua siredi hapa
SWALI: What is the One thing you Love Most about your self???
Please Share wana JF tujue walau the One thing umeridhika nalo
Katika the whole of you…..
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Lol!!! Leo nakupa a room for space upumuembona unachakachua sasa mkuu
mimi huko sijafika na wala sitegemei kufika ila mbona kama unaweka maneno mdomoni mwangu
Nipo bwan' Rocky.... Nasoma mnavojipendelea!
Lol!!! Leo nakupa a room for space upumue