The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Our kdb & dias nominated
JamiiForums1349724257.jpg
 
."Pep Guardiola has spent £850m without winning the Champions League"

Why doesn't the media mention the fact that Man United have spent £530m since 2017, winning ZERO out of 16 trophies. They also spent over £1Bn since Ferguson left and have failed to finish above Man City in EIGHT consecutive seasons.

Meanwhile, Pep won 9 trophies in 4 years

Man City's money spent per trophy (Net spend) since Pep arrived: £90m per trophy.

The media bias is unreal. "Chequebook manager and Bald fraud" only come because they're jealous that we have the best MANAGER in the world

View attachment 1805896
Laana ya uracist wake inamuandama ..hatokaa abebe UEFA huyu takataka
Akibaki EPL ataendelea kubeba makombe ya mbuzi tu
UEFA atasikia kwenye bomba...
 
kwani wa chelsea wapo mmehamia tu timu ilivyonunuliwa na roman
Acha kukariri Mzee ....Kwa wakati kama huu si ajabu kukuta shabiki wa Chelsea...lkn ni ajabu kukuta wa city tena watu wazima ! ...Chelsea imejipatia mashabiki wengi waliozaliwa mid 1990s walioikuta Chelsea iko vizuri 2004.....watu wakuwashangaa ni mashabiki wa city unakuta mtu mkubwa kabisa lkn anakwambia shabiki wa city huyo unajua obviously kahama kutoka timu nyingine....mtoto wa miaka 9 au 10 sahv akisema yeye ni shabiki wa city hapo Sawa tutamuelewa coz kipindi anazaliwa city ilinunuliwa na sheikh mansour....lkn nyie obviously mpk mna simu sahv probably ni wakubwa na mmehama kutoka timu zingine
 
Man city our team ,our club our heart ...

Kama hutaki wewe chukua sumu ya panya ulambelambe uende mbinguni tutakukuta

This is out city
 
Laana ya uracist wake inamuandama ..hatokaa abebe UEFA huyu takataka
Akibaki EPL ataendelea kubeba makombe ya mbuzi tu
UEFA atasikia kwenye bomba...
As long as we play good football with our world manager pep ,we don't care about trophies ...

Yaan tuchukue makombe ,tusichukue city is their to stay ,trophies its just bonus ....

Sisi tufocus kucheza modern football to enjoy our life ....

Come on city
 
Baada ya kukosa kombe la wanaume ndo unasema a trophy is just a bonus kupata vichekesho hivi Tubonyeze ngapi hahaha

Kombe sijui la wanaume ni kwenu nyie ..

Tunacheza mpira ,if you win the title or not its over and new season is come ,life goes on ..

Unless otherwise ni utoto kuanza kulaumu kitu ambacho kimeshapita ,kuanzia manager ,and all player they have closed that issue and to begin new page ....
 
Hata Mimi nililiona hili ,pep alikuwa anaigiza kulia ...

Katika hali ya kawaida aguero hakuwaanaingia kwenye mfumo wa pep ,ndio maana hata kwenye squad hadi final hakumwamin kun ...

Tatizo ni mfumo wa pep wa false 9 ndio ulimwaminisha pep anaweza kuwin bila striker ..

Wacha tuone next season ....

Huu mfumo wa false 9 ,nadhan pep inatakaiwa aufanyie malekebisho ,kuwa bora zaidi
 
View attachment 1805395
Hela hii kwa kuchukua tu EPL ambayo hata trashes Mancin na Pellegrino walichukua?
Fukuza huyu na lete Zizu mchukue UCL
Hata kama pep akitoka sijaona kocha wa kupokea mikoba ya pep ...

Kocha pekee naeweza kuona anaweza kuendeleza alipoishia pep ni Marcelo bielsa ...

Hao wengine sijui zidane ,poche,conte , Hamna kitu kabisa ....
 
Breaking News...📢📢📢
The City of Manchester has been ranked as the most quiet City in the world over the past week.
According to BBC NEWS, Villarreal and Chelsea are the reason why Manchester is very quiet.
The world have been saved from noise pollution kind courtesy of Unai Emery and T.T...
 
Hahahaha haupo serious mzee
 
Back
Top Bottom