Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
BREAKING: Kevin De Bruyne Is The 2021 PFA Player Of The Year!
Unajua uingereza wanajua kuvimbisha vichwa wachezaji wao ....
Huyo bruno kafanya nini hasa ..





tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timuNani amekuambia hivyo wewe!? Kabla waarabu hawajachukua hii timu kuna kombe lolote mlikuwa nalo?? Sisi Chelsea kabla ya Roman kutua tayari tulishakuwa mabingwa ligi kadhaa za nyuma uko miaka ya tisini. Nyie mambwagila mmezamia kufika vilabu vyenu vibovu vibovu uko kama arse8 na liverkuku bado mnaleta ubishi wa kujiita timu kubwa.
Mashabiki wa chelsea ni manyang'ao tu ,unakuta wanajadili utopolo hatarii ....tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
Si kwelitatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
Pep Guardiolais named Premier League Manager of the Season for 2020/21, his third time winning
the award
Huyo TT atasubili sana ...View attachment 1809105
Huyo najua mmeongeza mkataba wake ,but hatowezi fikia hii hatua nawambie ...Next TT![]()
Jack Grealish to Manchester City is the “done deal” after the Euros!
Jamaa kavurugwa huyoAisee kweli kukosa UEFA kumewafanya mchanganyikiwe kiakili nyie shity fans sio kwa pumba hizi mnazoongea

