Hii man city itakuwa ya kawaida sana msimu huu ..yani ata Norwich akikaza anajipatia point apa..
Ni kweli kabisa,maana timu huwa zinafocus kupta matokeo hasa kwenye mtoano, mpaka fainali,timu nyingi huwa zinajilinda Sana na kushambulia kwa kuvizia.Inasemekana total football sio nzuri kwenye UEFA, kuna baadhi wanadai timu zinazocheza Total football haziwezi fua dafu mbele ya timu ambazo hazina tiki-taka
Aisee ni aibu hata kusema nashabikia timu moja na wewe aiseeHii man city itakuwa ya kawaida sana msimu huu ..yani ata Norwich akikaza anajipatia point apa..
Mtajijua wenyeweUefa naona wanatupa group jepesi tena.
Inatupa wakati mgumu sana hatua za mbele.
Grp jepesi sana hilooGroup G na H gumu.
Chelsea anawakat mgumu
Kakutanishwa na Valencia na Ajax halafu wote wana timu nzuri sio kama yeye ambae anategemea madogo waliotoka ChampionshipGroup G na H gumu.
Chelsea anawakat mgumu
Mkuugroup la Chelsea jepesi sana. Hapo na Chelsea na Ajax ndio zinapita. Valencia anaenda kuungana na ArsenalGroup G na H gumu.
Chelsea anawakat mgumu
Uefa sio mchezo mchezoGrp jepesi sana hiloo
Valencia unawachukuliaje mzee babaMkuugroup la Chelsea jepesi sana. Hapo na Chelsea na Ajax ndio zinapita. Valencia anaenda kuungana na Arsenal
Hahaha ni kweli.Kakutanishwa na Valencia na Ajax halafu wote wana timu nzuri sio kama yeye ambae anategemea madogo waliotoka Championship
Sio kwa chelsea...labda kama unaizungumzia asenoUefa sio mchezo mchezo