The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Msimamo wa EPL ukoje hadi Sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi zilizochezwa wapo walicheza mechi ya 31 na wapo waliocheza mechi 30.
Waliocheza mechi 30 hawakuweza kucheza mechi ya 31 maana walikuwa wamefuzu kucheza FA cup.
Waliocheza mechi 31 ni pamoja na liverpool anaeongoza ligi akiwa na point 76. Mbele ya Man City aliecheza mechi 30 akiwa na point 74.
 
1_CaptureJPG.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom