The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kila team tunayo cheza nayo inacheza kwa kuji overwork lengo kutudharilisha kama hiki ki team kilikuwa kinataka kubeba sifa isiyo kahusu duh tumekikomesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah!! Hii timu sasa hv kila mtu anaiogopa sana lazima wakati wa game mpinzani abane matako na meno sasa kocha awe makini kuruhusu wapinzani kutangulia maana tukikutana na mpinzani mwenye ukuta imara zaidi itakula kwetu
 
Back
Top Bottom