CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,571
- 882
Tutakutana na Wolves final
Tutakutana na Wolves final
Mahrez bado ajaonyesha tulichomletea.Wote wakali ila kila mtu ana vitu vyake tofauti
Kama msemavyo labda mfumo sio rafiki rafiki kwake
Ila aguero pia ilimchukua muda na mwenzake sterlin kuuweza mdundo wa pepKama msemavyo labda mfumo sio rafiki rafiki kwake
Haha ukiingiza ule uzi ukosi neno manctySana tu tena yamkini wanaombea hata wachezaji wetu wawe wanapatwa ugonjwa wa kuwa wanasahau gori lilipo ka si kuvimba miguu wote hawatupendi sana hawa jamaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep anapenda wachezaji wanyumbulifu zaidi ndio maana alivyofika city alibadiri vitu vingi mixer msosiIla aguero pia ilimchukua muda na mwenzake sterlin kuuweza mdundo wa pep
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi zilizochezwa wapo walicheza mechi ya 31 na wapo waliocheza mechi 30.
Amna kitu kama icho hahaMashabiki wenyew mpo wawil sasa mnaachaje kupoa. Labda muwe mnashirikishana na ishu za kifamilia hahahaah
Sent using Jamii Forums mobile app