The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Poleni sana ila hili goal nimelipenda mnoooo
 
Attachments

  • Gnnb.mp4
    3.7 MB · Views: 26
Kiufupi pep. Aliona sana sane alibanwa sana kwenye ile kona yake. Na alitakiwa abadilishe formation. Mahrez nae ile kona ilikuwa ngumu bora sterling alikuwa anawatoka.
 
Kiufupi pep. Aliona sana sane alibanwa sana kwenye ile kona yake. Na alitakiwa abadilishe formation. Mahrez nae ile kona ilikuwa ngumu bora sterling alikuwa anawatoka.
ASANTENI SANA MAN CITY KUNIFARIJI KWA KUFUNGWA KWENU, MAANA SI KWA UBOVU WA TIMU YETU YA CHELSEA ISIYOKUWA NA MASTRIKERS
 
Back
Top Bottom