The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Townsend ana roho mbaya, ule mshuti minyavu tika tika, poleni sana This is EPL.
 
Kiufupi pep. Aliona sana sane alibanwa sana kwenye ile kona yake. Na alitakiwa abadilishe formation. Mahrez nae ile kona ilikuwa ngumu bora sterling alikuwa anawatoka.
 
ASANTENI SANA MAN CITY KUNIFARIJI KWA KUFUNGWA KWENU, MAANA SI KWA UBOVU WA TIMU YETU YA CHELSEA ISIYOKUWA NA MASTRIKERS
 
Back
Top Bottom