kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,186
- 4,887
Karibu sana jirani,tunaamini nanyi jirani zetu mtarudisha wema huu tuliowatendea kwa kumchinja jogoo pale OT..!kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa Man U tunatoa shukrani za dhati kwa majirani zetu kwa mlichofanya kwa kutuondolea lile genge la wahuni pale juu lisilojua mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Afe simba au afe mmasai, jogoo lazima achinjwe ndani ya OTKaribu sana jirani,tunaamini nanyi jirani zetu mtarudisha wema huu tuliowatendea kwa kumchinja jogoo pale OT..!
Supu ua jogoo lini? Man u wanweza kupika supu kweli? Ngoja niandae chapati zanguAfe simba au afe mmasai, jogoo lazima achinjwe ndani ya OT
andaa mkuu. PSG hajakukatisha tamaaSupu ua jogoo lini? Man u wanweza kupika supu kweli? Ngoja niandae chapati zangu
PSG kafanya sahihi kunoa kisu. Kisu kabla hakijachinja kinapita kwenye friction kidogo.
PSG ni timu bora. Na wanastaili pongezi. Sijawahi kuwa mfuatiliaji wa soka hapo nyuma ila niliingia ktk sika kipindi mancity anamtandika man u goli 6 kwa moja. Ila kwa mpira wa psg walioucheza na man u jana. Mpaka kuichabanga man u goli mbili kwa nunge, ingenguwa ni man city tungelala pia tena kwa goli nyingi zaidi. Maana man city angecheza kwa kujiamini kuwa watashinda ila kwa mchezo wa jamaa jana ingekula kwetu. Mbappe anaspidi ya ajabu sana. Ila man u aliingia akijua kabisa atapigwa kwahiyo alicheza kujahami akacheza kila aina na mpira mpaka kupata red card.PSG kafanya sahihi kunoa kisu. Kisu kabla hakijachinja kinapita kwenye friction kidogo.
New castle walikuwa na hirizi?Timu kama PSG mimi hawezi kunifunga kwa mpira ule labda aje na IRIZi hapo kweli ila sio kwa uwezo
cityzen chairman am here
New castle walikuwa na hirizi?
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
usemahau walibebwa mzee
cityzen
Ukijitokeza tu atakimbia.mashabiki wenzangu wa etihad leo kuna msiba pande flani hivi mida mida so,
tusikose kwenda kutoa support wakuu
cityzen chairman am here
PSG ni timu bora. Na wanastaili pongezi. Sijawahi kuwa mfuatiliaji wa soka hapo nyuma ila niliingia ktk sika kipindi mancity anamtandika man u goli 6 kwa moja. Ila kwa mpira wa psg walioucheza na man u jana. Mpaka kuichabanga man u goli mbili kwa nunge, ingenguwa ni man city tungelala pia tena kwa goli nyingi zaidi. Maana man city angecheza kwa kujiamini kuwa watashinda ila kwa mchezo wa jamaa jana ingekula kwetu. Mbappe anaspidi ya ajabu sana. Ila man u aliingia akijua kabisa atapigwa kwahiyo alicheza kujahami akacheza kila aina na mpira mpaka kupata red card.
Ila sisi kama city tumejifunzia kwao. Hiyo siku ya fainali maana itakuwa kati ya city na psg. Tutawabwaga.
Ila namuomba Pep asiweke wachezaji wenye hasira. Tutakula red.

kavute bange tu kuchamgua mpira hauwezi bibiePSG ni timu bora. Na wanastaili pongezi. Sijawahi kuwa mfuatiliaji wa soka hapo nyuma ila niliingia ktk sika kipindi mancity anamtandika man u goli 6 kwa moja. Ila kwa mpira wa psg walioucheza na man u jana. Mpaka kuichabanga man u goli mbili kwa nunge, ingenguwa ni man city tungelala pia tena kwa goli nyingi zaidi. Maana man city angecheza kwa kujiamini kuwa watashinda ila kwa mchezo wa jamaa jana ingekula kwetu. Mbappe anaspidi ya ajabu sana. Ila man u aliingia akijua kabisa atapigwa kwahiyo alicheza kujahami akacheza kila aina na mpira mpaka kupata red card.
Ila sisi kama city tumejifunzia kwao. Hiyo siku ya fainali maana itakuwa kati ya city na psg. Tutawabwaga.
Ila namuomba Pep asiweke wachezaji wenye hasira. Tutakula red.
Mbona tena kutukanana?kavute bange tu kuchamgua mpira hauwezi bibie
John stones na Jesus hawaendi. Ila line ipo vIzuuripossible line wanangu
#ederson
#kyle walker
#john stones
#A .laporte
#zinchekko
kelvin de bruyne
fernadinho
benardo silva
Iklay gundogan
#rahim sterling
#chelsea aguero
cityzen chairman am here
thanksJohn stones na Jesus hawaendi. Ila line ipo vIzuuri