The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Refa ametubana kiaina. Penalt ya kwanza mpira unafuata mkono. Pamoja na jitihada za kuukwepa mpira. Ila VAR wakawapa penalt. Ila tumewachana.
what goal for leroy sane

referee mpira unaidha mseng haamini jicho limemtoka kama ngumii

the blues popote mlipo

carabao final loading.........

cityzen
 
sio mbaya nafikili ni mawazo yako si eti eeeh

cityzen chairman am here
Hivi alie assist goal la sterling ni nani?
Tulikosa chances nyingi sana, japo wamepewa penalty za utata. Penalt ya pili refa wala hakuangaika na VAR. na ya kwanza hakuhakikisha kwenye video yeye kama refa, hakwenda kujihakikishia ili atoe maamuzi, akatoa penalt.na kadi, hakumuwa na haja ya kadi pale maana hakushika makusudi. Utata mtupu.
 
city ilikua lzm ashinde.. timu aliy kutana nayo mbovu at kweny ligi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu bora ndiyo iliyoshinda. Hao Schalke hakuna jambo la kutisha walilofanya. Hata magoli waliyopata sio Kw juhudi zao.
Sane amebadilisha mchezo dakika za mwishoni, piga free kick moja matata mpaka wavuni. Wala hakushangilia na ktk dakika za majeruhi Sterling akaipa ushindi City.
 
hakushangilia kuonesha respect coz kaifunga timu yake y zamani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester City tunatamani sana leo chelsea amfunge Man U. Ili man u apate hasira za kumfunga liverpool.
Mkuu ulizimia tarehe 17 nini, na leo ndio umezinduka?

Mbona unaongelea historia ambayo ilkuwa tofauti na maombi yako

Lakini usijali, tumemfunga Chelsea, tutamfunga Liverpool kisha tutakufunga na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulizimia tarehe 17 nini, na leo ndio umezinduka?

Mbona unaongelea historia ambayo ilkuwa tofauti na maombi yako

Lakini usijali, tumemfunga Chelsea, tutamfunga Liverpool kisha tutakufunga na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ha ha daah ha ha

sijui hata niaze wapi ila umenichekesha
maana kipigo nitachokupa kama mwizi

cityzen chairman am here
 
Mkuu ulizimia tarehe 17 nini, na leo ndio umezinduka?

Mbona unaongelea historia ambayo ilkuwa tofauti na maombi yako

Lakini usijali, tumemfunga Chelsea, tutamfunga Liverpool kisha tutakufunga na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunifunga ni ngumu kama kumfunga liverpool. Man U hana mpira wa know mfunga liverpool, japo tunawaombea mshinde. Tatizo hamna huo mpira. Keep mfunga liverpool kama mnacheza kitimu mtaweza ila kwa mchezo wenu wa pogba pekee sahauni.
 
Habari za siku nyingi wakuu?

Hongereni kwa kuendeleza vipigo vya hapa na pale dhidi ya vikundi vya wahuni....... Msimu huu tutakua na vikombe vingi tofauti na msimu jana
 
Back
Top Bottom