Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Pogba peke yake?Kunifunga ni ngumu kama kumfunga liverpool. Man U hana mpira wa know mfunga liverpool, japo tunawaombea mshinde. Tatizo hamna huo mpira. Keep mfunga liverpool kama mnacheza kitimu mtaweza ila kwa mchezo wenu wa pogba pekee sahauni.
Ina maana Pogba ana Herrera peke yake, ana Matic peke yake, ana Rashford peke yake, ana Degea pekee yake?
Unataka useme Pogba ana Lingard peke yake na ku Martial peke yake?
Nyie akiumia Fernandinho ndio hamna timu pale
Sent using Jamii Forums mobile app