The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
Nawakumbusha tu etihad huu mzikii husikie tu kwa mwenzako

#laporte
#gabriel J
#usingizi mtamu hadi raha

cityzen chairman am here
 
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,304
Likes
526
Points
280
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,304 526 280
Liver ana mechi moja mkononi,usijipe matumaini aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi moja mkononi ambayo sio ya leo wala kesho. Vilevile kiporo kinachacha. Halafu hicho kiporo inategemea anacheza lini na atakuwa ktk hali gani. Point 3 mbele sio sawa na point 3 kiporo.
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
chelsea jamani jiandaeni kulamba dawa

zamu yenu sasa alafu ww ndo ulikula chakula cha wanaume

cityzen chairman am here
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
Kweli bora ujifaliji mapema mzee

maana jumapili sina msamahani

cityzen chairman am here
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
RAHIM STERLING LAZIMA APIGE MBILI ZA HASIRA YA UBAGUZI


cityzen chairman am here
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
ha ha ha ha ha

wazee wa aflied mnayakumbuka matokeo aya

CHELSEA O --BOURNEMOUTH 4

nimeya miss tu

cittyzen chairman am here
 

Forum statistics

Threads 1,262,481
Members 485,588
Posts 30,123,421