The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
Nilikuwa nategemea kwa kipigo kile kuna timu zitajifunza kitu lakini wap nimekutana na shabiki wa arsenal anasema chelsea nimemuotea angekuwa yeye asingefungwa vile


cityzen chairman am here
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,429
Likes
2,108
Points
280
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,429 2,108 280
kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa Man U tunatoa shukrani za dhati kwa majirani zetu kwa mlichofanya kwa kutuondolea lile genge la wahuni pale juu lisilojua mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana jirani,tunaamini nanyi jirani zetu mtarudisha wema huu tuliowatendea kwa kumchinja jogoo pale OT..!
 
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,304
Likes
526
Points
280
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,304 526 280
PSG kafanya sahihi kunoa kisu. Kisu kabla hakijachinja kinapita kwenye friction kidogo.
PSG ni timu bora. Na wanastaili pongezi. Sijawahi kuwa mfuatiliaji wa soka hapo nyuma ila niliingia ktk sika kipindi mancity anamtandika man u goli 6 kwa moja. Ila kwa mpira wa psg walioucheza na man u jana. Mpaka kuichabanga man u goli mbili kwa nunge, ingenguwa ni man city tungelala pia tena kwa goli nyingi zaidi. Maana man city angecheza kwa kujiamini kuwa watashinda ila kwa mchezo wa jamaa jana ingekula kwetu. Mbappe anaspidi ya ajabu sana. Ila man u aliingia akijua kabisa atapigwa kwahiyo alicheza kujahami akacheza kila aina na mpira mpaka kupata red card.
Ila sisi kama city tumejifunzia kwao. Hiyo siku ya fainali maana itakuwa kati ya city na psg. Tutawabwaga.
Ila namuomba Pep asiweke wachezaji wenye hasira. Tutakula red.
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
216
Likes
140
Points
60
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
216 140 60
mashabiki wenzangu wa etihad leo kuna msiba pande flani hivi mida mida so,

tusikose kwenda kutoa support wakuu

cityzen chairman am here
 

Forum statistics

Threads 1,262,481
Members 485,588
Posts 30,123,421