Muoe unayempenda.
Usimtambulishe huyo mchumba wako kwa sasa, buy more time even months so that you can have more thinking to make the right decision that you won't regret in future...
Simple like to push a drunker!Au sio!
life is simple eiyer, sisi binadamu tunayacomplicate kwa kupingana na ukweli.
Siku zote hatutaki kuukubali ukweli. Hasa ukweli wa hisia.
Jamani niece mimi naona kama yahusuyo hisia ndio hufanya life iwe complicated hasa mahusiano.... kama hivo huwezi jua ukute huyo mchumbake to be anampenda mno huyo kaka, but bahati mbaya ndio hivo tena roho yake ipo kwa huyo dada mwingine... (bahati mbaya ukute ni tamaa tu); hivi kweli hapo ni simple?
hivi aunt kuna anayeshindwa kutofautisha anapopapenda na anapopatamani? Ukweli huwa tunajua kuwa sehemu flani kweli tumependa ila hatukubaliani na ukweli, hata huyu mkaka akimwambia mchumba 2b kuwa amependa mtu mwingine hatokubali wala kuelewa.
Tatizo kwenye mahusiano tunaangalia sana mazingira ya nje kuliko kujiangalia sisi binafsi na ndio maana mambo huonekana magumu.
Kwa mtazamo wako niece ukisoma post ya mwanzo.... kaka kapenda ama katamani huyo dada mpya?
Habari zenu wana jamii?
Mimi ni kijana mtanzania mzalendo-nina kazi ambayo namshukuru Mungu inanifaa. Ninataraji kufunga ndoa mwakani. Nampenda mchumba wangu, ila tatizo nililonalo ni hili : mwaka jana january nilikuwa namuona msichana fulani kila siku asubuhi wakati naenda kazini. yeye pia anakuwa anaenda kazini, kwa hiyo tunaongozana hadi kituoni tunapanda gari moja-tunaachana njiani. Huyu mshichana ni mzuri sana kwa kumuangalia na ana adabu ambayo nimeiona kwa watu wachache sana. Hana makuu na humsalimu mtu vizuri kama inavyohitajika. Nikaona si mbaya tukawa friends. Basi toka february mwaka jana tukawa friends. Tukaanza mawasiliano madogomadogo, mara simu kwa sana, mara lunch dinner,movies kutembebeana home. Nikamtambulisha kwa mchumba wangu(Ila my fiancee hampendi kabisa!).
Tatizo linaanza: kwa hiki kipindi tulichohang out together tumejikuta ni marafiki close sana(mimi niko very timid na huwa siko comfortable arround girls hata mchumba wangu, lakini ajabu huyu rafiki yangu ndo msichana wa kwanza in my life kuwa that karibu na simuonei aibu na we discuss ideas deeply).
Kumuelezea tu ni mzuri sanaa, ana tabia nzuri sana yani perfect wife material, ni msomi na ameniambia wazi ananipenda.
Kiukweli nampenda sana kuliko mchumba wangu, ila sasa natakiwa kumtambulisa mchumba wangu kwetu wiki ijayo na home wanajua ntamleta siku iyo.
GUYS I HAVE MET THE LOVE OF MY LIFE AND UNFORTUNATELY I AM ALREADY COMMITED, sijamsaliti mchumba wangu ila nahitaji ushauri ili ni make this big decision of my life...
mimi na wewe aunt hatuwezi kuelezea kama kapenda au katamani. Yeye muhusika ndio anajua. Labda kama atatuambia mazingira aliyokutana na huyo dada wa kwanza na mpaka wanaanza ilikuwa vipi. Kuna watu wanakuwa na wapenzi kutokana sababu tofauti na kupenda. Ikitokea amepata aliyempenda kwa dhati huonekana amemtamani. Kwani haiwezekani huyo mchumba ake wa sasa ndio alimtamani ila huyo mpya ndio kampenda kiukweli?
Usimtambulishe huyo mchumba wako kwa sasa, buy more time even months so that you can have more thinking to make the right decision that you won't regret in future...