The lost boys

The lost boys

The Lost Boys wanafurahisha sana...

Eve Mungu anamuona anachowafanyia The lost boys... anavyo wa- entertain wote watatu siyo vizuri kabisa...

Fred mistari yake ya kitoto sana... Eve anapenda hiyo mitoko yake tu ya kwenye migahawa kwenda kula...

Hans hana mistari kabisa, uchale mwingi na ni mtu wa visasi visasi... alichomfanyia Fred kwa kumuacha m.tako wazi daah...

Junior ana mistari sana... ila hajui mitoko kabisa...

Cc: mahondaw
 
Daaaahh madame hii story noma sana..."" yaani muda wote nacheka tu ..." hii story imenikumbusha mbali mnooo""...aiseeee " Muandishi ni comedian wa kiwango cha Charlie Chaplin

daaaahhh nimecheka mnoo Aisee..
 
Hii hadithi mtu asipocheka atakua na matatizo makubwa sana...
 
Hii hadithi mtu asipocheka atakua na matatizo makubwa sana...
Hahaaaaa...Daaaaah Yaaani "" lakini nasikitika Jamaa jina lao linakwenda kuwahukumu""Mwanamke anakwenda kuwatenganisha ""Aiseee
 
Back
Top Bottom