nachindundu
Member
- Aug 6, 2012
- 17
- 17
comment chochote kwa hapo chini ili uweze kupata LIKE
Mods,is this legal?
since umeandika chochote,ntakuzawadia LIKE.ya bureeyaani unataka tu LIKE just for the sake of it!? No way mkuu, nitagonga LIKE nitakapoona inafaa tu, tena ningependekeza kuwe na kitufe cha DISLIKE pia ili tuende sawa
inaonekanawe huzipendi like au?
mbona kama za kibaguzi hawajakupa likeduh wana CC njooni huku kuna LIKES za bure...
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes kibaaao......ni kawazo changu tu cha leo nimeamka nacho,,,,let the show GO ON.......
Sijaelewa hata kidogo mtoa mada anataka nini.
Sijaelewa hata kidogo mtoa mada anataka nini.
duh wana CC njooni huku kuna LIKES za bure...
Sijaelewa hata kidogo mtoa mada anataka nini.