Jamani maisha hayana maana nyie, ebu oneni MJ alivyowekwa kwenye kiroba, sio yule tena aliyekuwa analindwa pande zote na askari. MUNGU atusaidie tubadilike na kumrudia yeye na tuache kujikosea wenyewe na wengine ndugu, jamaa na marafiki. RIP MJ
Sisi sote ni wenye kurejea kwake Mwenyezi Mungu.
kitu kizuri Michael Jackson alimjua Mwenyezi Mungu november mwaka jana 2008 alisilimu na kuchukua jina la mikaeel.
ukisikiliza hotuba ya kaka yake Jarmein Jackson ambaye naye ni muislam mwishoni anataja jina la Mwenyezi Mungu kwa kiislam Allah amsamehe na kumpumzisha marehemu.