Siku Michael Jackson alipofariki...kifo chake kilitawala gumzo la JF.
Picha ya siku ya mazishi yake. Cheki hiyo convoy ya double Rs.
Kafanana na Miss tz wa 2006.
Hhhhhaaaa dadekiii bila kumsahau shyrose banj
Nikikumbuka ile pua ilivokua inahama na hili tako linaposhuka mpaka magotini, hakika wanafanana.
Sipati picha michael angekuwepo aiseeeee
Angekua anapumulia mabomba ya juice za azam.
Hhhhaaaaaaa kwanini angekua anpumulia mabomba ya azam????