Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,949
- 49,459
Tatizo ni kwamba hataki ku-collapse peke yake ila ataitumia Hormuz kuiadhibu Dunia nzima.inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Miaka ya Vita Baridi na Baada ya kuanguka kwa USSR Marekani ilikuwa na nguvu kubwa mno hasa kwenye diplomasia, ilikuwa inaweza kuzozana na kupatana na nchi yeyote bila watu wa kati.
Ajabu leo inaitegemea Pakistan (iliyowahi kuishambulia na kuiita 'hot bed of terror ' ) kwa upatanishi..
zitto junior