Mkuu mfumuko wa bei, hauusiani na uisilamu,ila hiyo ni mipango mibovu ya watala, sijui kama unachuki zako, binafsi, na uisilamu.
Haiwwzekani hiyo!Tunapambana na mabeneru na jamaa zao mazayuni hadi mwisho wa dahar!inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Chadema bANA?inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Mkuu nimefuatilia mabandiko yako mengi, na nimegundua hilokwa nini unsema hivyo kwamba "nina chuki" ? unaweza labda kuisema hiyo "chuki" kulingana na habari husika? ni wapi nimetaja islam kunapoonyesha hiyo "chuki" ? ...
Ni lina walipanga kuangamiza wayahudi na wakristo? Una ushahidi wowote?Am down 4 it
Waliapa kuwa wafalme wa jihad ya kuwaangamiza wayahudi na wakristo kwa kutengenza network za ugaidi kupitia proxies mashariki ya kati
Clock is ticking
Propaganda hizi, Iran ina vikwazo vya uchumi tokea 1979 ndio sembuse vikwazo vya miezi hii 6 viimalize kiuchumi?inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Propaganda as usualinflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Proxy wa Iran ndio kila siku wanasaidia Wakristo, kuanzia Iraq vita vya Isis Hadi Lebanon Hezbollah. Hapo Lebanon Wakristo wanasoma Shule za Hezbollah, wanatibiwa Hospitality za Hezbollah na wapo safe kuuliwa na Kina Isis sababu ya Hezbollah.Ni lina walipanga kuangamiza wayahudi na wakristo? Una ushahidi wowote?
Kuhusu proxies hata Israel na USA zina proxies za "magaidi" kama HTS (Rais wa Syria), PLC (Yemen), YPG/YPJ/Peshmerga (Iraq), SDF (Syria), PJAK, PAK (Iran).
Unaelewa maana ya Asilimia 30% Leo ukinunua mkate 1000, mwezi ujao unanunua kwa 1300, mwezi inafuata ni 1690 etc haujafika level hio.Sikubaliani kabisa na usemi kwamba mfumuko wa bei Tanzania eti ni asilimia 4.2 tu.
Katika vitu tunavyodanganywa kama watoto na serikali hii ni hili la mfumuko wa bei.
Mfumuko wa bei Tanzania kiukweli ni kati ya asilimia 30 na 40 na hilo linanasibishwa vizuri zaidi na bei za bidhaa mbalimbali zinavyopanda kila siku lakini kwa muda mrefu sasa kuna siasa inachezwa pale BoT ili kuonyesha kwamba hali ya uchumi ni nzuri bila kufahamu kwamba wanaumbuka na uhalisia wa mambo yalivyo.