baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 5,980
- 12,656
Bosi huwezi shindana na sayansi na tafiti mbalimbali, tatizo lako inaonekana unashindia zile tweets na propaganda za kinazi ambazo zinatengenezwa ku feed islamophobe wajinga wajinga kama wewe.sasa unashangaa nini? kwani arabs walifanya nini egypt na north afrika yote kwa ujumla? au unafikiri majority ya wakazi wa egypt leo hii ni original egyptian? kwa nini egypt wanaongea arabic? watu asilia wa wa egypt hawakuwa na uhusiano wowote ule na arabs lkn leo hii egypt yote ni arab country kwa nini unafikiri iko hivyo? kwanza khs iran hata ayatoka khomeini mwenyewe hana asili ya iran anatokea irak, elite yote inayotawala iran ya leo sehe,mu kubwa hata wana asili ya irak na kwingineko.
arab muslims walichokifanya baada ya kuivamia na kuangusha persia walipora vitabu na scientific writting zote na kusema ni zao na kuita "golden islamic age" lkn ni kazi ya persian iliyoporwa na siyo muslims waliovamia, inafanyika dunia nzima wavamizi wakivamia na kumuangusha waliyemvamia wanachukua nchi na kujimilikisha kila kitu na ndicho muslims walichofanya persia baada ya invasion, hata unaweza kuchukuwa mfano wa tanzagiza tu kwa mbaaali kwa nini wanasema ni raisi samia amajenga Nyerere dam na kwenye ufunguzi hawakumtaja mtangulizi wake popote ambaye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kuweka msingi kwenye huo mradi? same old tricks ya muslims kihistoria wanapora kazi na jasho la wengine halafu wanasema ni ya kwao huo ni mfano mdogo tu ...
Watu wa North Africa wanaitwa amazingh/berbers/Tuareg Etc ni watu Ambao walikua wanaishi jangwa la sahara miaka na miaka hawana mahusiano yoyote na waarabu na hakuna ushahidi wowote kwamba wamekua replaced na waarabu tofauti na theory za kijinga.
Ni kama vile mtu aandike theory watu wa Zanzibar wali replace Tanzania, Kenya, Uganda, Congo etc, wanaanza vipi watu kama Milioni kureplace mamia ya Milioni ya watu?
Unaweza ukasoma study mbalimbali kama hii
Introducing the Algerian Mitochondrial DNA and Y-Chromosome Profiles into the North African Landscape
North Africa is considered a distinct geographic and ethnic entity within Africa. Although modern humans originated in this Continent, studies of mitochondrial DNA (mtDNA) and Y-chromosome genealogical markers provide evidence that the North African gene pool has been shaped by the...
North Africa ni mpaka Asilimia 90 E-M81 ambayo ni DNA ya Amazingh indigenous wa North Africa na Waarabu DNA Yao ni Chini ya Asilimia 30% na nje ya miji ni Chini ya Asilimia 5. So kusema Waarabu wali replace North Africa ni ujinga tu.
Same kwa Egypt, Japo imepakana na Nchi za Kiarabu na Eneo lake kidogo lipo Asia still Population yake kubwa ni indigenous na wanafanana same na Wa Egypt wa Zamani
DNA analysis proves that Egyptians are not Arabs - Egypt Independent
After over 10 years of analyzing DNA samples from hundreds of people, the National Geographic Genographic Project (NGGP) surprisingly uncovered the fact that Egyptians are not Arabs as most of them believed.The study presented graphs that show the global genetic makeup of nationals in each...
So Tu ignore hizi tafiti zote tumuamini kijakazi wa wazungu ambaye hata link hatazifungua na kujifunza atarukia Uzi mwengine na kuanza kusambaza propaganda zile zile za uongo?