The islamic republic of Iran is completely collapsing!

utamsikia mjinga mjinga huku Tanzania ambaye toka kazaliwa pengine hata mkoa wake hajawahi kutoka Anafkiri Israel ni rafiki wa Wakristo na Iran ni Adui wa Wakristo,
Siyo kweli,
Iran, Wakristo wanabaguliwa, kunyanyaswa, kuonewa na kuadhibiwa vikali kwa sababu ya imani yao..
=============================

In iran, individuals caught possessing or sharing Farsi Bibles face heavy fines, lengthy prison sentences, harassment, and severe legal penalties...
 
Unaelewa maana ya Asilimia 30% Leo ukinunua mkate 1000, mwezi ujao unanunua kwa 1300, mwezi inafuata ni 1690 etc haujafika level hio.

Kwani kabla ya hitimisho, mfumko wa bei uliotolewa ni wa mwezi au mwaka mzima?
 
Siyo kweli,
Iran, Wakristo wanabaguliwa, kunyanyaswa, kuonewa na kuadhibiwa vikali kwa sababu ya imani yao..
=============================

In iran, individuals caught possessing or sharing Farsi Bibles face heavy fines, lengthy prison sentences, harassment, and severe legal penalties...
Ungeleta na ushahidi Ambao ni Neutral,

1. Iran kuna makanisa toka Karne ya 1 huko na mpaka Leo yanadunda

2. Moja ya Metro kubwa ya Iran ambayo inaanzia kanisani inaitwa St Mary Metro imezinduliwa ku honor kanisa la Armenia
images.jpeg

3. Khamenei mara kwa mara amekua akitembelea hizo community za kikristo na tumeona wakristo wengi hata Ambao wapo nje ya Iran waki honor kifo chake. Kama vile Catholicos Garegin II ambaye ni equivalent ya Papa kwa wakatoliki.

So hebu nielezee taratibu nchi ambayo hata biblia hairuhusiwi why Ina makanisa mengi tena makubwa, why Inajenga architecture za wakristo, why viongozi wake wanapendwa na Nchi na viongozi wa wakristo?

Tatizo la wabongo wengi mnajua west ndio ukristo, makanisa yenu ya kilokole yasiyo na staha yakizuiliwa basi moja kwa moja mnaona watu wanapinga ukristo.

Middle east ndio nyumbani kwa makanisa makongwe kabisa, Armenia na Assyrian churches tradition zao ni toka Karne ya kwanza uhai wa Yesu, miaka na miaka wanapambana na wazungu wakati wanasambaza Ukristo wao feki, wakristo wa Middle East wanawindwa na kuuliwa na west toka hata Muhammad (S.A.W) hajakuja, uisilamu ulipopata nguvu uliyalinda hayo makanisa vs west, na almost vita vyote vya waisilamu vs West wakristo wamesaidia waisilamu, na Hadi Leo hayo makanisa kusimama ni ushahidi tosha wa relationship Yao na hizo state.

Wakristo walikaa kwa amani Iraq both Sadam na communities za kishia waliishi nao kwa amani ila Usa alivyoleta tu demokrasia yake hapo, na Vikundi vyake vya kigaidi ghafla wakaanza kuwindwa.

Syria wakristo waliishi kwa Amani muda mrefu mpaka Usa alipoleta Demokrasia yake, tunaona Usa na Israel sasa hivi nje nje wana back up Al qaeda.

Palestine wakristo na Waisilamu waliishi kwa amani mpaka Israel alivyotokea sasa hivi role ya wakristo Israel ni kutemewa mate.

Same to Lebanon na kwengineko. Kama unataka wa kumlaumu kwa tabu za Wakristo Middle East walaumu hao mabwana zako unaowakatikia viuno kila siku Israel na Usa, sio Iran, Iran amekuwa msaada mkubwa kwa makanisa ya Middle East, Assyrian, Armenia, Maronite, Catholic etc
 
Watu ni mashabiki ..ni kwa iran kushindana na USA kwa sasa kwa sababu vikwazo vya sasa vinaushisha kuhalibu miundo mbinu ya uchumi wa tofauti na vikwazo vya zamani...ni swala la muda tu iran itapigishwa magoti
Tuvipe muda gani???
 
Inaonekana vikwazo pekee havitoshi, wenzako wamerudi tena vitani huko.

Iran wameshasema, HAPA AIBU UTAONA WEWE TRUMP!
 
Ni swala la muda tu iran itanyoosha mikono ... vikwazo visinge weza ila vikwazp + mambomu yenye kuhalibu uchumi vitaweza
 
Ungeleta na ushahidi Ambao ni Neutral,

1. Iran kuna makanisa toka Karne ya 1 huko na mpaka Leo yanadunda

2. Moja ya Metro kubwa ya Iran ambayo inaanzia kanisani inaitwa St Mary Metro imezinduliwa ku honor kanisa la Armenia
View attachment 3659955

3. Khamenei mara kwa mara amekua akitembelea hizo community za kikristo na tumeona wakristo wengi hata Ambao wapo nje ya Iran waki honor kifo chake. Kama vile Catholicos Garegin II ambaye ni equivalent ya Papa kwa wakatoliki.

So hebu nielezee taratibu nchi ambayo hata biblia hairuhusiwi why Ina makanisa mengi tena makubwa, why Inajenga architecture za wakristo, why viongozi wake wanapendwa na Nchi na viongozi wa wakristo?

Tatizo la wabongo wengi mnajua west ndio ukristo, makanisa yenu ya kilokole yasiyo na staha yakizuiliwa basi moja kwa moja mnaona watu wanapinga ukristo.

Middle east ndio nyumbani kwa makanisa makongwe kabisa, Armenia na Assyrian churches tradition zao ni toka Karne ya kwanza uhai wa Yesu, miaka na miaka wanapambana na wazungu wakati wanasambaza Ukristo wao feki, wakristo wa Middle East wanawindwa na kuuliwa na west toka hata Muhammad (S.A.W) hajakuja, uisilamu ulipopata nguvu uliyalinda hayo makanisa vs west, na almost vita vyote vya waisilamu vs West wakristo wamesaidia waisilamu, na Hadi Leo hayo makanisa kusimama ni ushahidi tosha wa relationship Yao na hizo state.

Wakristo walikaa kwa amani Iraq both Sadam na communities za kishia waliishi nao kwa amani ila Usa alivyoleta tu demokrasia yake hapo, na Vikundi vyake vya kigaidi ghafla wakaanza kuwindwa.

Syria wakristo waliishi kwa Amani muda mrefu mpaka Usa alipoleta Demokrasia yake, tunaona Usa na Israel sasa hivi nje nje wana back up Al qaeda.

Palestine wakristo na Waisilamu waliishi kwa amani mpaka Israel alivyotokea sasa hivi role ya wakristo Israel ni kutemewa mate.

Same to Lebanon na kwengineko. Kama unataka wa kumlaumu kwa tabu za Wakristo Middle East walaumu hao mabwana zako unaowakatikia viuno kila siku Israel na Usa, sio Iran, Iran amekuwa msaada mkubwa kwa makanisa ya Middle East, Assyrian, Armenia, Maronite, Catholic etc

persia ilianza kuharibika na kuangamia baada ya kuvamiwa na muslims, lkn kabla ya islam persia ilikuwa kati ya most civilized na advanced societies duniani, persia wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye civilization ya hii dunia, lkn ndiyo hivyo tena walikuwa conqured by muslims na imebakia stori tu, leo hii wanaomba chakula mitaani ili waishi maisha magumu kama afrika tu btw hata egypt ilikuwa great civilization mpaka muslims walivyovamia na kubomoa civilization ya egypt na leo hii egypt ni third world shit hole country lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo ...
 
Kamba

1. Persia kwenye Islamic Golden age wameleta maendeleo mengi pengine kushinda hata kipindi chochote kile, Islamic Golden age ndio imeleta modern science vitu kama upasuaji, step za science, mathematics mbalimbali kama Algebra na Algorithim, advanced chemistry etc. huku wapersia wakichangia kwa kiasi kikubwa.

Tumeona kipindi cha Shah Iran ikitawaliwa na vibaraka wa west nchi ilinuka ujinga, watu hata kusoma na kuandika hawajui, walipitwa Hadi na Tanzania nyanja kibao za maendeleo wakati wa Nyerere, then walipofanya tu mapinduzi ndani ya miaka 50 wametoka toka nchi ya kipuuzi mpaka kuingiza top 20 ya nchi ambayo zipo advanced zaidi kisayansi, sasa hivi Iran wanagundua mambo kibao na wanasayansi wao wana rank juu kwenye criteria kibao.

2. Waliofanya Egypt kuwa nchi ya ovyo ni hao hao mabwana zako west kipindi hicho wanaitwa Byzantine, sababu wakristo wa Egypt walikua ni copts na walikataa kufuata Uroma waliwaua, waliwatesa na likawa tu ni koloni.

Waisilamu hawakupata shida kuikomboa Egypt sababu tayari waliungwa mkono na Copts ili kuja kuwapiga waroma, na Waisilamu walivyochukua Nchi wakalirudisha kanisa la Copt ambalo Hadi Leo lipo. Historia nzuri unaipata kwenye website ya kanisa la Copt.

Long story short waisilamu walizichukua Nchi za Kiarabu na middle east kirahisi sababu watu wao walikua kwenye mateso makali kwa miaka na miaka, Jerusalem ni eneo takarifu kwa dini zote ila wakristo wako unaowakubali mwenyewe wa west waliitumia kama shimo la choo, wakijisaidia uchafu wao unaenda Jerusalem, kwa hali hio unategemea wakristo/Jews/waisilamu wenye hata chembe ya Imani wasilisaidie jeshi linalopigana na udhalimu kama huo?
 
Nilisema US Naval blockade,,Hapa Trump ali-calculate vizuri, hii imewashika kende Iran😁😁😁
 
Hii Dunia, yaani USA imeenda na kupiga kufuli bandari za Iran, kama USA sio super power ni nchi gani duniani Ina jeuri ya kupiga completely naval blockade nchi kama Iran.

Ila Trump ameiharibu sana Iran
 
Kamba

1. Persia kwenye Islamic Golden age wameleta maendeleo mengi pengine kushinda hata kipindi chochote kile, Islamic Golden age ndio imeleta modern science vitu kama upasuaji, step za science, mathematics mbalimbali kama Algebra na Algorithim, advanced chemistry etc. huku wapersia wakichangia kwa kiasi kikubwa.

Tumeona kipindi cha Shah Iran ikitawaliwa na vibaraka wa west nchi ilinuka ujinga, watu hata kusoma na kuandika hawajui, walipitwa Hadi na Tanzania nyanja kibao za maendeleo wakati wa Nyerere, then walipofanya tu mapinduzi ndani ya miaka 50 wametoka toka nchi ya kipuuzi mpaka kuingiza top 20 ya nchi ambayo zipo advanced zaidi kisayansi, sasa hivi Iran wanagundua mambo kibao na wanasayansi wao wana rank juu kwenye criteria kibao.

2. Waliofanya Egypt kuwa nchi ya ovyo ni hao hao mabwana zako west kipindi hicho wanaitwa Byzantine, sababu wakristo wa Egypt walikua ni copts na walikataa kufuata Uroma waliwaua, waliwatesa na likawa tu ni koloni.

Waisilamu hawakupata shida kuikomboa Egypt sababu tayari waliungwa mkono na Copts ili kuja kuwapiga waroma, na Waisilamu walivyochukua Nchi wakalirudisha kanisa la Copt ambalo Hadi Leo lipo. Historia nzuri unaipata kwenye website ya kanisa la Copt.

Long story short waisilamu walizichukua Nchi za Kiarabu na middle east kirahisi sababu watu wao walikua kwenye mateso makali kwa miaka na miaka, Jerusalem ni eneo takarifu kwa dini zote ila wakristo wako unaowakubali mwenyewe wa west waliitumia kama shimo la choo, wakijisaidia uchafu wao unaenda Jerusalem, kwa hali hio unategemea wakristo/Jews/waisilamu wenye hata chembe ya Imani wasilisaidie jeshi linalopigana na udhalimu kama huo?

siyo kweli, soma vizuri historia na uilewe, isitoshe nhawa wanaoishi iran leo hii siyo persia origin, persians origins karibia wote were all killed by arabs, pia mesopotamia ilianza kuanzguka baada ya uvamizi wa arab muslims na islam ukawa ndiyo mwisho wa civilization ya mesopotamia leo hii imebakia udiktetta wa sadam husen nepotism, corruption, wizi, dhuluma ni kawaida irak ya leo vile vile persia ilianza kudondoka baada ya arab muslim invasion na introduction of islam.

mbinu ile ile iliyobomoa mesopotamia, egypt, persia, spain, southern europe (albania, serbia) sasa hivi communists wanataka kuitumia kubomoa Christian west ngome pekee iya Christianihty iliyobakia. wanapeleka muslims wengi USA na Europe angalia kinachoendelea england, sweden, minnesota, michigan na hata New York wamemuweka communist mulim mamdan na New Zork tayari big business zimeanza kuhama, kitabu ni kile kile wakitaka ku-destroy civilization wanapeleka muslims na islam btw Japan imepiiga marufuku islam na misikiti good move, unalijua hilo? ...
 
Kwamba Wapersia wameuliwa ila still Iran Ina watu wengi kushinda waarabu wote wa gulf combined? Na sayansi inatudanganya DNA zote na tafiti zote za sayansi zinazoonesha ni wapersia?

We kijana Rudi tu kwenye vijiwe vyako vya kahawa huna moja unalojua
 
sasa unashangaa nini? kwani arabs walifanya nini egypt na north afrika yote kwa ujumla? au unafikiri majority ya wakazi wa egypt leo hii ni original egyptians? kwa nini egypt wanaongea arabic? watu asilia wa wa egypt hawakuwa na uhusiano wowote ule na arabs lkn leo hii egypt yote ni arab country kwa nini unafikiri iko hivyo? kwanza khs iran hata ayatoka khomeini mwenyewe hana asili ya iran anatokea irak, elite yote inayotawala iran ya leo sehemu kubwa hata wana asili ya irak na kwingineko.

arab muslims walichokifanya baada ya kuivamia na kuangusha persia walipora vitabu na scientific writting zote na kusema ni zao na kuita "golden islamic age" lkn ni kazi ya persian iliyoporwa na siyo muslims waliovamia, inafanyika dunia nzima wavamizi wakivamia na kumuangusha waliyemvamia wanachukua nchi na kujimilikisha kila kitu na ndicho muslims walichofanya persia baada ya invasion.

hata unaweza kuchukuwa mfano mdogo tu wa tanzagiza kwa mbali kwa nini wanasema ni raisi Samia ndiye aliyejenga Nyerere dam na kwenye ufunguzi hawakumtaja mtangulizi wake popote pale, mtu ambaye walifanya kazi pamoja kwa muhula mzima mradi ulianza wakiwa pamoja na ambaye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kuweka msingi kwenye huo mradiingawaje ulipingwa karibia na dunia nzima lkn alianza kuujenga sasa iweje wamtoe na kufuta jina lake kwenye kumbukumbu ya mradi? same old tricks ya muslims kihistoria wanapora kazi na jasho la wengine halafu wanasema ni ya kwao huo ni mfano mdogo tu, hata Kuran yenyewe wamekopi mengi ktk kwenye Biblia na kuyabadilisha ...
 
Back
Top Bottom