Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,502
- 34,092
Rial iliporomoka muda mrefu kutokana na vikwazo vya kiuchumi lakini siyo kwa sababu ya Trump na chizi Mwenzake Netanyahu
I
I
Na kwetu kule nyuu yoki ya jf kuna mtu anaitwa Turampet ukipenda mwite mshangaziKwetu huku uzaramuni kuna mtu anaitwa Putin
Kupanda kwa gharama za maisha hakuna anaekataaNaona hujanielewa. Hapo nimetoa mfano tu wa kasekta kamoja lkn gharama za maisha zimepanda sana na hii imeathiri bidhaa na huduma zote nchini.
Kwa hali ilivyo ngumu hiyo ndio takwimu ya ukweli chini ya hapo ni porojo tu.Kupanda kwa gharama za maisha hakuna anaekataa
Hilo kwasasa ndio tatizo la dunia nzima mpaka kwenu huko marekani gharama zipo juu
Tunachokukatalia ni hizo asilimia unazozisemea
Time will tellinflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial totally collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
stop lies, awajawahi kuwa na ugomvi na wakristo wala jews, tofautisha Zionist state na jewsAm down 4 it
Waliapa kuwa wafalme wa jihad ya kuwaangamiza wayahudi na wakristo kwa kutengenza network za ugaidi kupitia proxies mashariki ya kati
Clock is ticking
Zkmbabwe ioifika ngapi? Walikufa?Unaelewa maana ya Asilimia 30% Leo ukinunua mkate 1000, mwezi ujao unanunua kwa 1300, mwezi inafuata ni 1690 etc haujafika level hio.
Na hauwezi kumzuia mtu kuchukia asichokipenda, wala huwezi kumlazimisha kupenda kitu Cha ovyo.Mkuu mfumuko wa bei, hauusiani na uisilamu,ila hiyo ni mipango mibovu ya watala, sijui kama unachuki zako, binafsi, na uisilamu.
Wewe uliwahi kubakwa na waislam ???Na hauwezi kumzuia mtu kuchukia asichokipenda, wala huwezi kumlazimisha kupenda kitu Cha ovyo.
Kama anaona watu wanauawa na kubakwa na waislam Kwa sababu sio waislam, Kwa nini asiuchukie huo uislam?
Sawa mkuu, umenifunza jambo.Na hauwezi kumzuia mtu kuchukia asichokipenda, wala huwezi kumlazimisha kupenda kitu Cha ovyo.
Kama anaona watu wanauawa na kubakwa na waislam Kwa sababu sio waislam, Kwa nini asiuchukie huo uislam?
Kwenye comment na social media huku iran tayari ishazama kabisa sio kudidimia tuAsante Usa
Iran ididimie wala isinyanyuke
Mmarekani kwa vile vikwazo, amemuweka kwenye wakati mgumu. Anahangaika. Watu hawawezi kula mabomu waka drones.
Ndio maana sisi wengine sio wapenzi wa vita. na huwa nawashangaa wanaofikiria vita ni kitu kirahisi kufanya.
Kwa sasa hata Putin anajuta...kuna wakati anaona kabisa balance ya vita imeegema kumpa ushindi adui kuliko yeye
Proxy wa Iran ndio kila siku wanasaidia Wakristo, kuanzia Iraq vita vya Isis Hadi Lebanon Hezbollah. Hapo Lebanon Wakristo wanasoma Shule za Hezbollah, wanatibiwa Hospitality za Hezbollah na wapo safe kuuliwa na Kina Isis sababu ya Hezbollah.
Nchi ambazo Iran Hana Nguvu unakuta Isis na Alqaeda makundi rafiki ya Israel ndio yanatawala na kuua Wakristo.
Wakristo wenyewe wa Middle East wapo pamoja na hayo makundi, then utamsikia mjinga mjinga huku Tanzania ambaye toka kazaliwa pengine hata mkoa wake hajawahi kutoka Anafkiri Israel ni rafiki wa Wakristo na Iran ni Adui wa Wakristo, go tell that kwa Mkristo wa Lebanon, Iraq ama Syria kama atakuelewa.
hii haijawahi kutokea, kumbuka vikwazo vina madaraja pia i.e unaweza ukawekewa vikwazo lkn bado kuna vitu ukaruhusiwa kufanya, unaweza kwa mfano bado ukaruhusiwa ku-transfer fedha kutumia swift (ingawaje wanasema swift ni neutral lkn siyo neutrol kiihvyo bado west wanaweza kukuzuia kuitumia kama wakiamua) au hata exports ya baadhi ya products kwa mfano russia kawekewa vikwazo na eu lkn bado kuna vitu eu wananunua ktk russia kwa mfano mbolea au mafuta ghafi na rasilimali nyinginezo vivyo hivyo iran ndiyo aliwekewa vikwazo tangia miaka ya 70 lkn bado alikuwa na pa kupumulia mfono mdogo tu bado wairani wengi wanaruhusiwa kusoma USA au EU tena wako on scholarships paid by eu au USA.
ila hii ya sasa hivi ni end game ...
View attachment 3656478