The interview : simu na vifaa vingine vya mawasiliano baina ya wapenzi(mipaka)

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,647
75,837
Kwema?
Leo kutakuwa na mahojiano ya mada tajwa. Host nitakuwa mimi na mhojiwa ni ukhuty. Tutajaribu kuangalia mipaka ya simu/vifaa vinginevyo vya kimawasiliano baina ya wapenzi/wanandoa. Karibuni saana wakuu.

Ombi: fuatilia kwa umakini usi interrupt mahojiano baadae utapewa muda wa kuuliza swali ambalo halikupatwa kuulizwa.(Ombi hili na liheshimiwe).
 
Back
Top Bottom