The Interview: mshana Jr.

Kwa nini waganga wengi wa kienyeji siyo matajiri??? Na inaaminika huwapatia watu wengine dawa na kuwa matajiri?? Hii imekaaje INA maana wao wanapenda umasikini na kuishi Maporini na sehemu Duni??
Utajiri wa mganga ni zile zana zake! Hahitaji fedha kwakuwa kila anachotaka anapata....iwe ni kusafiri chakula nknk
Sio wote wanaishi maporini na wapo ambao ni matajiri lakini wamechanganya uganga wao na mengine
 
Bank zinaibiwa sana na baadhi ya wachawi Lakini hawatangazi kwakuwa hakuna palipovunjwa na pia kuwaaminisha wateja kuwa pesa yao iko salama
 
Usijali kaka kabisa twende tu mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…