The Finest mmmmhhhh

The Finest mmmmhhhh

At least TF unaruhusiwa kuingia bar.....
Panga meza.....panga viti...happy birthday mkuu.....
 
Miwani yako umeipeleka wapi?
Naona bado hajaivaa
Happy birthday kiongozi,
Angalia sasa uzee ndo huo,
TAFAKARI, CHUKUA HATUA!!!!!!!
Kiongozi aisee muda si mrefu nitakuwa kama Asprin
I hope It's not your 21th Birthday, kwani 21th birthday watu huwa wanakunywa mpaka wanazirai. Happy Birthday buddy!.
Yegomasika, nataka baadae nipitie maeneo ya mwaloni pale au kamanga ferry nichukue samaki wa ukweli halafu nijipumzishe kidogo maeneo ya La Kairo baadae niwapeleke madogo pale Salma Cone kidogo nitapitia Isamilo kucheki washikaji wawili watatu na kule Pasiansi na wengine wako maeneo ya Ghana na Kirumba na kule kwa wajeshi Kitangiri kuna jamaa wa Breweries wanakaa kule Bwiru wamesema niwacheki pia.
<br />
<br />
Ha ha sababu imepatikana aisee
Naona sasa Dena kapata miwani yake
 
Hongera sana Ze Finest!
Sasa hata zile ishu za kule Maasai Camp tunaweza kuanza kuongelea!
Wakati ule nilikuwa nakuskiliza lakini kiaina nakumwaga mbaya!.. ha h a haaaa!
Enjoy my very young broda!
 
Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lol
Hongera kwa Birthday Mkuu,sasa kama umetinga 18 wahi basi kuomba leseni ya udereva TRA maana muhimu sasa uanze kutoa lift hasa usiku ukitoka Runway,Maisha,Bilicanas,Samakisamaki.........!
 
Happy Birthday my dear. Kuna canter nimepakiza Dompo inakuja saa sita uipokee
 
Hongera kwa Birthday Mkuu,sasa kama umetinga 18 wahi basi kuomba leseni ya udereva TRA maana muhimu sasa uanze kutoa lift hasa usiku ukitoka Runway,Maisha,Bilicanas,Samakisamaki.........!
Bishanga that's one of my favourite places
Happy Birthday my dear. Kuna canter nimepakiza Dompo inakuja saa sita uipokee
Canter anaendesha nani PJ? Kama ni yeye basi nina uhakika Dompo litafika salama
unataka kwenda kuona khanga ndembendembe?shaurizako utapofoka macho bureeeeeeeeeeee,kuwa kwanza sawa eeeh?
18 naruhusiwa kuchungulia sasa
 
Hapan bado sana kuwa kidogo tena atleast ufikie umri wangu,inaelekea ulivyokuwa mdogo ulipenda sana kuwekea wadada vioo chini na kuwachungulia eeeeh?
18 naruhusiwa kuchungulia sasa
 
Hujanifahamisha bado mkuu...lakini sio mbaya kama upo 18 unaunganika na msanii ''LuLu" kwenye mambo yenu yaleeeee!! ya ku:bange::bange::msela::drum:
 
Hongera sana Ze Finest!
Sasa hata zile ishu za kule Maasai Camp tunaweza kuanza kuongelea!
Wakati ule nilikuwa nakuskiliza lakini kiaina nakumwaga mbaya!.. ha h a haaaa!
Enjoy my very young broda!
Hahaha mambo ya Masai Camp yale acha tu lol
 
Hujanifahamisha bado mkuu...lakini sio mbaya kama upo 18 unaunganika na msanii ''LuLu" kwenye mambo yenu yaleeeee!! ya ku:bange::bange::msela::drum:
Hahaha Sizinga nafikiri ni muda muafaka sasa wa kutafuta mchumba au unasemaje?
 
Back
Top Bottom