The Finest mmmmhhhh

Aisee.....

Hongera dogo kwa kutimiza miaka 18.

Sasa unaweza kwenda jando na kuanza kutongoza....ukikwama, babu is always there for you!

BTW....hii haiwezi kuwa sababu ya kukutana leo?

Happy Birthday TF!

Babu nashukuru sana, hapo kwenye bluu muhimu sana babu mimi mwenyewe ndio nitawahi kupanga meza

Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lol

lol..lo..lol,the finest!! r u kidding me??mbona avatar yako (especially hapo kidevuni) inaonekana nyembe ishakwangua kama mara 100 hivi?? Halafu mada zako nyingi hapa jukwaani hazionyeshi kama ulikuwa under 18...!! Hapo je??

Happy Birthday Babu yangu mie ...............MUNGU akuzidishie umri niweze kukuwashia kiko cha ugoro.
Ndimi
Obidienti Grandidauta
Hahaha!!! Nashukuru sana Obidienti Grandidauta usikose basi leo Babu atakuwepo kwahiyo mjukuu sidhani kama anapswa kukosa

lol..lo..lol,the finest!! r u kidding me??mbona avatar yako (especially hapo kidevuni) inaonekana nyembe ishakwangua kama mara 100 hivi?? Halafu mada zako nyingi hapa jukwaani hazionyeshi kama ulikuwa under 18...!! Hapo je??
Hahaha Sizinga umenitoa nishai lol mkuu si unajua kuku wa siku hizi walivyo ukila unaota ndevu mapema.

lol..lo..lol,the finest!! r u kidding me??mbona avatar yako (especially hapo kidevuni) inaonekana nyembe ishakwangua kama mara 100 hivi?? Halafu mada zako nyingi hapa jukwaani hazionyeshi kama ulikuwa under 18...!! Hapo je??
Mkuu nitakunong'oneza baadae basi lol!!!!

I hope It's not your 21th Birthday, kwani 21th birthday watu huwa wanakunywa mpaka wanazirai. Happy Birthday buddy!.

Aisee.....

Hongera dogo kwa kutimiza miaka 18.

Sasa unaweza kwenda jando na kuanza kutongoza....ukikwama, babu is always there for you!

BTW....hii haiwezi kuwa sababu ya kukutana leo?

Happy Birthday TF!

Ha ha sababu imepatikana aisee

Similar Discussions

Back
Top Bottom