The End of the End of CHADEMA on planet Earth - Ngoma ilivuma sasa inapasuka (Watu wote wenye akili wanajua hili)

CDM ya mzee mtei sio hii ya leo, ndio maana yanayotokea leo hayakuwahi kutokea tangu Tanganyika ipate uhuru. Hatupo mbali na M23 naamini hivyo, paka sio panya jaribu kumfungiq kila upande kisha utapata majibu.
Owner wa sasa ni nani?
 
Nachojua CDM haijashiriki uchaguzi ila Kampeni zote neno kubwa ilikuwa ni Chadema , wameitwa watu wamekabidhi kadi za CdM majukwaani lakini wapi, wamemnunua Wenje kataja maneno ya kutisha kuhusu chama alichotoka lakini wapi wananchi hawajaichukia chadema wala kuipenda kijani.. uchaguzi umefanyika bila chadema Ak47 imetumika kuhalalisha matokeo ambayo hata mshindi hana furaha leo ukiifuta CDM kuna kitu kitabadilika? Tukae tujiulize tulipokosea ni wapi ili turudishe imani kwa wananchi... Inafika kipindi kweli viongozi wa serikali na Jeshi la polisi linafunga comment kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii kwamba wananchi wasitoe maoni wakipewa Taarifa? Watanzania Wanawaamini kina Mange na Sativa kuliko mamlaka ?? Hii ni maajab.
Kwenye sala zote unazofanya lazima umkemee shetani. CCM inafanya jambo la kiMungu
 
Alikuwepo Lyatonga Mrema na NCCR, alikuwa anasukumwa gari lake na wananchi, aliambulia kwenda kunywa kikombe kwa babu Loliondo.

Walikuwepo Malim Self na Lipumba na CUF ilikuwa inatisha. Walikuwa na msemo wa unaitwa Ngangali, waliambiwa na Said Mwema Polisi ni ngunguli. Walikutana na ngunguli huko Zanzibar walichapwa na wengine kupotea kabisa na kuwa wakimbizi mombasa.

Umri wako bado mdogo waulize wazee wako watakujuza. Likija suala la National Interest security is the only piority.

Serikali = CCM, Kuiangusha CCM ni kuiangusha serikali. Unaweza hilo?
Kumbe chawa, upuuzwe mara moja na watu waache mara moja kujiengage na nyuzi zako
 
Ulijiunga lini tena hapa JF Kwikwikwikwikwi wewe utakuwa ni mkenya

1762595940687.png
 
Nyie mnapambana na CDM mnasahau shida siyo CDM, shida ya watanzania kwa sasa ni mabadiliko na hapo ndo mnapopotea kwa kujitia kujua kwingi.

Kwahiyo mkiiua CDM ndo ntakuwa mmeweza kuzuia mabadiliko? Duniani kote hakuna resistance ilikuja kupambana dhidi ya mabadiliko na ikatoboa, haipo na haitakuwepo. Waambie vipofu wenzio, tatizo la watanzania wala si CDM ..tatizo la watanzania ni mabadiliko.

Na kwa nyongeza tu, hii CDM wala haifi na kama ndo mmejidanganya kwamba mkiwakamata wote itakufa siyo kweli, maana siasa ni imani na imani uzaa itikadi ...hii ni spirit tayari iko mioyoni mwa watanzania, njia rahisi tu pengine muwaue watanzania wote na hilo pia hamuwezi. Kwa maana ya hiyo hesabu, mna hiyari mmadilike ama tactics zenu zinakwenda kucollapse
 
Wewe chawa ni wa kuhurumia tu. Hata wanaokulipa kwa uchawa nadhani wanahurumia pesa zao maana tofauti yako na mavi ni joto tu
Huwa siongei na baby wa JF. Pata kwanza experience ndio uje kuonge na wazee wa JF
 
Nyie mnapambana na CDM mnasahau shida siyo mabadiliko na hapo ndo mnapopotea kwa kujitia kujua kwingi.

Kwahiyo mkiiua CDM ndo ntakuwa mmeweza kuzuia mabadiliko? Duniani kote hakuna resistance ilikuja kupambana dhidi ya mabadiliko na ikatoboa, haipo na haitakuwepo. Waambie vipofu wenzio, tatizo la watanzania wala si CDM ..tatizo la watanzania ni mabadiliko.

Na kwa nyongeza tu, hii CDM wala haifi na kama ndo mmejidanganya kwamba mkiwakamata wote itakufa siyo kweli, maana siasa ni imani na imani uzaa itikadi ...hii ni spirit tayari iko mioyoni mwa watanzania, njia rahisi tu pengine muwaue watanzania wote na hilo pia hamuwezi. Kwa maana ya hiyo hesabu, mna hiyari mmadilike ama tactics zenu zinakwenda kucollapse
Hajui kwamba kwa sasa cdm ndio imepata wafuasi kuliko hata kabla ya uchaguzi. Wananchi wote sasa hivi ni chadema isipokuwa wale wanaufaika tu wa ccm.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao.

Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na mfumo mkubwa sana. Kwa juu juu kilikuwa kinaonekana kama Chama dhaifu kumbe ndani yake ilikuwa imesimika mifumo mzito.

Kuanguka kwa CHADEMA ndio mwanzo wa kuanguka kwa CRDB, watu wenye ujuzi watakubaliana na mimi.
CRDB ilikuwa inatumika kama kichaka cha kuchukua pesa kutoka kwa wahisani. Pesa za mazingira na pesa nyingi kutoka kwenye mashirika ya kimataifa ziliingizwa huko CRDB. Vijana waliokuwa wanyenyekevu kwa CDM walipata mavumba ya kumwaga kutoka mfereji huo. Pesa ziliingia huko zilikuwa ni za bure tu. CRDB wakaanzisha mradi kipofu uliokuwa unaitwa IMBEJU, vijana watiifu wa CHADEMA walikula mavumba ya kutosha.

Mkurugenzi wao aliyekuwepo alijaribu kugombea ubunge ndani ya CCM na alipewa baada ya kuachia ngazi ndani ya CRDB. Watu walikuwa wanamchora tu.

Nchi ikaona huu ni ujinga sasa tutachezewa mchezo huu mpaka lini? Ikaanzishwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), ili kuleta mafanikio ya kweli kwa wananchi. Lakini mpango ulisukwa vilivyo. Ilianzishwa faster faster Cooperative Bank of Tanzania (Coop Bank Tanzania) - TCB na mwenyekiti wa board akawekwa kuwa mkurugenzi wa CRDB, hii ni kwaajili ya kufedhehesha TADB. Kumbuka waziri alikuwa anapigia chepuo TCB alikuwa ni mmoja wa vijana wa For U Movement kipindi cha mamvi kukatwa kwenye uraisi.

Mwanzilishi wa nyama choma festival aliwekwa kuwa sehemu ya mradi wa BBT. Huo mradi wa kilimo wenye lengo la kusaidia vijana. Hii yote ni kuweka ulaghai lengo ni kuiua TADB. Mradi wa BBT umeshindikana, vijana huko mashambani wanapigana miti tu. Maana original plan ya BBT ilikuwa ni kuipeleka kwenye makambi ya JKT vijana wasimamiwe na jeshi kufanya masuala yakilimo.

Back to the topic: Baada ya watafiti kuona chain ilivyo ndefu waliamua kuanza kwenye mshono kwanza CHADEMA. CHADEMA hawakuliona anguko lao kuwa linakuja, walijiaminisha kuwa wameweka mizizi kila kona.

Baada ya uchaguzi wao kumuengua Mbowe The CEO, ilikuwa ni sehemu ya mkakati. Kwa sasa ni final ni kam.a kibogoyo kula ubwabwa tu.
Ni kweli kabisaaaa,ndio maana CCM haiwe kutolewa madarakani milele.
 
Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao.

Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na mfumo mkubwa sana. Kwa juu juu kilikuwa kinaonekana kama Chama dhaifu kumbe ndani yake ilikuwa imesimika mifumo mzito.

Kuanguka kwa CHADEMA ndio mwanzo wa kuanguka kwa CRDB, watu wenye ujuzi watakubaliana na mimi.
CRDB ilikuwa inatumika kama kichaka cha kuchukua pesa kutoka kwa wahisani. Pesa za mazingira na pesa nyingi kutoka kwenye mashirika ya kimataifa ziliingizwa huko CRDB. Vijana waliokuwa wanyenyekevu kwa CDM walipata mavumba ya kumwaga kutoka mfereji huo. Pesa ziliingia huko zilikuwa ni za bure tu. CRDB wakaanzisha mradi kipofu uliokuwa unaitwa IMBEJU, vijana watiifu wa CHADEMA walikula mavumba ya kutosha.

Mkurugenzi wao aliyekuwepo alijaribu kugombea ubunge ndani ya CCM na alipewa baada ya kuachia ngazi ndani ya CRDB. Watu walikuwa wanamchora tu.

Nchi ikaona huu ni ujinga sasa tutachezewa mchezo huu mpaka lini? Ikaanzishwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), ili kuleta mafanikio ya kweli kwa wananchi. Lakini mpango ulisukwa vilivyo. Ilianzishwa faster faster Cooperative Bank of Tanzania (Coop Bank Tanzania) - TCB na mwenyekiti wa board akawekwa kuwa mkurugenzi wa CRDB, hii ni kwaajili ya kufedhehesha TADB. Kumbuka waziri alikuwa anapigia chepuo TCB alikuwa ni mmoja wa vijana wa For U Movement kipindi cha mamvi kukatwa kwenye uraisi.

Mwanzilishi wa nyama choma festival aliwekwa kuwa sehemu ya mradi wa BBT. Huo mradi wa kilimo wenye lengo la kusaidia vijana. Hii yote ni kuweka ulaghai lengo ni kuiua TADB. Mradi wa BBT umeshindikana, vijana huko mashambani wanapigana miti tu. Maana original plan ya BBT ilikuwa ni kuipeleka kwenye makambi ya JKT vijana wasimamiwe na jeshi kufanya masuala yakilimo.

Back to the topic: Baada ya watafiti kuona chain ilivyo ndefu waliamua kuanza kwenye mshono kwanza CHADEMA. CHADEMA hawakuliona anguko lao kuwa linakuja, walijiaminisha kuwa wameweka mizizi kila kona.

Baada ya uchaguzi wao kumuengua Mbowe The CEO, ilikuwa ni sehemu ya mkakati. Kwa sasa ni final ni kama kibogoyo kula ubwabwa tu.
Chadema inakufa kwa kufunga viongozi wake? Unawaza kama watawala
 
Conspiracy theories zitakuja nyingi sana, na CCM ndiyo ufundi wao upo hapo. Journalism imeshazikwa Tanzania, ukitaka habari ya kweli Tanzania nenda BBC Swahili au DW. Nchi kwisha, ni baada ya miaka karibu 25 tangu Nyerere kuwakabidhi nchi Mbwa. Mtu mweusi hakuna kitu anachoweza. Uchawi tu
 
😂😂😂😂😂😂 eleze hilo anguko la chadema sasa unazunguka crd ,bbt😂😂 ceo mbowe ,lissu hamna chama imara kama chadema ambacho kina pambana na dola. Heche & lissu wapo ndani

Dola inatumia nguvu kubwa kwa sababu inaelewa hatari ya hichi chama siyo yale mambo yakina zitto k😂😂

Hayawani Huyu.

Leo hii CHADEMA ikiitisha mkutano inajaza watu, CCM ili ijaze watu inatakiwa iwe na wasanii, Na mabuss ya kusomba watu.
 
Ndio unajidanganya hivyo? Next Year kinafutwa na mkiendelea kitakuwa kikundi cha magaidi, Tanzania will hunt you down, hamtaamini.
Wacha mkwara, mkifute hata sasa.

Sikila Mamlaka mnayo? Mkifute, Kuhusu Ugaidi, mnautaka? Mkifute, mkiite kikundi Cha Ugaidi.

Hivi wewe zwazwa , unadhan Tanzania ni kanchi kwako katikatinya Bahati, kwamba hakifikiki?.

Hilo Bichwa umejaza matope?.
 
Back
Top Bottom