Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Basi Kaa Kwa kutulia hiyo ndo CHADEMA ambayo tangu LISSU awe Mwenyekiti mmeipitisha kwenye Moto, lakini ndo kwanza Wananchi wanaikubali.Nchi ya Tanzania haina tatizo, tatizo ni kwako tu. Pole
Ulivyo JINGA na zwazwa, unazungumzia Pesa za wafadhali, Mpuuzi usojua kwamba Akaunti zote za Chama Cha CDM ziko monitored na Serikali yenu ya Kifisadi.
Hata Ile Pesa la Ruzuki mkazuia.
Lkn hamjaweza kuua CHADEMA.
Mmewakamata ili iwe Tool ya Maridhiano, lkn nalo halitafanikiwa .
Kila mnalofanya linazidi kuwaharibia.
Ulichoandika, umeandika uharo