President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,546
- 89,514
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao.
Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na mfumo mkubwa sana. Kwa juu juu kilikuwa kinaonekana kama Chama dhaifu kumbe ndani yake ilikuwa imesimika mifumo mzito.
Kuanguka kwa CHADEMA ndio mwanzo wa kuanguka kwa CRDB, watu wenye ujuzi watakubaliana na mimi.
CRDB ilikuwa inatumika kama kichaka cha kuchukua pesa kutoka kwa wahisani. Pesa za mazingira na pesa nyingi kutoka kwenye mashirika ya kimataifa ziliingizwa huko CRDB. Vijana waliokuwa wanyenyekevu kwa CDM walipata mavumba ya kumwaga kutoka mfereji huo. Pesa ziliingia huko zilikuwa ni za bure tu. CRDB wakaanzisha mradi kipofu uliokuwa unaitwa IMBEJU, vijana watiifu wa CHADEMA walikula mavumba ya kutosha.
Mkurugenzi wao aliyekuwepo alijaribu kugombea ubunge ndani ya CCM na alipewa baada ya kuachia ngazi ndani ya CRDB. Watu walikuwa wanamchora tu.
Nchi ikaona huu ni ujinga sasa tutachezewa mchezo huu mpaka lini? Ikaanzishwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), ili kuleta mafanikio ya kweli kwa wananchi. Lakini mpango ulisukwa vilivyo. Ilianzishwa faster faster Cooperative Bank of Tanzania (Coop Bank Tanzania) - TCB na mwenyekiti wa board akawekwa kuwa mkurugenzi wa CRDB, hii ni kwaajili ya kufedhehesha TADB. Kumbuka waziri alikuwa anapigia chepuo TCB alikuwa ni mmoja wa vijana wa For U Movement kipindi cha mamvi kukatwa kwenye uraisi.
Mwanzilishi wa nyama choma festival aliwekwa kuwa sehemu ya mradi wa BBT. Huo mradi wa kilimo wenye lengo la kusaidia vijana. Hii yote ni kuweka ulaghai lengo ni kuiua TADB. Mradi wa BBT umeshindikana, vijana huko mashambani wanapigana miti tu. Maana original plan ya BBT ilikuwa ni kuipeleka kwenye makambi ya JKT vijana wasimamiwe na jeshi kufanya masuala yakilimo.
Back to the topic: Baada ya watafiti kuona chain ilivyo ndefu waliamua kuanza kwenye mshono kwanza CHADEMA. CHADEMA hawakuliona anguko lao kuwa linakuja, walijiaminisha kuwa wameweka mizizi kila kona.
Baada ya uchaguzi wao kumuengua Mbowe The CEO, ilikuwa ni sehemu ya mkakati. Kwa sasa ni final ni kama kibogoyo kula ubwabwa tu.