The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bagain, Aug 23, 2012.

 1. b

  bagain JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Wana JF,

  Ni muda sasa nimekuwa nikiona matangazo ya kazi hasa ya serikali na taasisi zake yakiwa na deadline inayosema
  " The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement".

  Je, kuna ugumu gani wa kuandika/kutaja tarehe halisi?

  Mara nyingine matangazo hutolewa zaidi ya tarehe moja kwenye magazeti, je, hawaoni kuwa ni kuwachanganya wanaoomba kazi?

  Je, haya matangazo wanapoyaweka kwenye websites zao bila la kuonyesha first date of advertisement hawaoni kuwa ni kuwachanganya waombaji?

  Nawasilisha!
   
 2. a

  axel fowly Senior Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo huwaga ni mbwembwe tu ila hakuna sababu za kutokuweka tarehe ya date of advertisement na date of deadline na hii inatokana na na kazi nyingi zinakuwa tayari wameshaweka watu wao so wanafanya hivyo kama ushahidi tu
   
 3. b

  bagain JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  ngoja tusubiri kusikia toka kwa wahusika, naamini baadhi yao ni members wa JF.
   
 4. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  wanataka ukiomba wakwambie deadline imepita
   
Loading...