Fastercapital
Member
- Jul 25, 2019
- 74
- 239
Huku nmeamini huwezi kuingia hivi hivi
Namna ya kuingia humu mkuu
Huku nmeamini huwezi kuingia hivi hivi
😂😂😂😂😂😂Walanguzi wanajiita wafanyabiashara, Dunia simama nishuke mie
Sasa kwanini kwenye law of separation tunaambiwa tukae mbali na wanawake haohao ambao wanaleta successful 🙂Waliosema "in every successful man there is a woman behind" walikuwa sahihi 100%
Kama hutojali,Nitumie e-mail yako Pm,Kuna jambo nahitaji kufanya Kwa mwaka 2025 nawezaje kupata mawasiliano na wewe mkuu kwaajili ya ushauri na hivi?
Noma sana!Hapana isee,wachaga ni watu safi
Amina.LUKA 4:5
Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwo nyesha kwa mara moja milki zote za dunia. 6-7 Akamwambia, “Uki piga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye.” 8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’ ”
Duu hizi codes zinahitajika D mbili yaaniKama hujui kucheza na ulimwengu wa roho hufiki mbali. Utaishia kuzunguka zunguka tu kama gari inayotafuta abiria. Kumbuka tu Yesu alipobebwa mzima mzima na shetani mpaka kwenye kilele cha mlima aliambiwa nini!! Zingatia hilo kabla ya kuanza biashara.
Nilituma haukurespond kiongoziKama hutojali,Nitumie e-mail yako Pm,