vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari wakuu,
Mi mgeni humu naomba niseme jambo..
Of coz nna maana yangu kupost hii kitu muda huu huenda mtaa wa pili washaenda katika kazi zao za kumroga mzee mzima King Zamunda..
Ni jambo lililowazi kuwa Zarina Hassan anapewa stress mno na mtoto mzuri mwenye lips bomba Wema Sepenga. Uwepo tu wa Sepenga ni adhabu tosha kwa huyu mama yetu...
Sasa aliyetarajiwa kumpa kampani na kumuondolea stress mwenzie ni The Simba, D platnumz, Chibu dangote...obviously.......
Kibaya ni kuwa Chibu naye ana stress kubwa baada ya kuona picha za King Kiba akiwa na madancer wakali wa mbele kule, kitu kinachoashiria kichupa kinachokuja si cha kawaida. Hili linamuumiza sana chibu as ni jambo linalojulikana na kila mtu kuwa huyu jamaa anapenda awe namba one yeye tu...Lazma naye apate stress...
Sasa huu mwezi umekuwa mbaya sana kwa familia hii. Kiba na Sepenga sio watu wazuri kabisa...