The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani

Kwahiyo ni kweli kuwa mbinguni kazi itakuwa ni moja tu ya kut*omba? Maana wanawake 70 sio mchezo. Sasa kama kila mtu anat*omba hiyo itakuwa ni sehemu takatifu au danguro? Na vipi kuhusiana na wanawake wa kiislamu watakaoenda mbinguni, vp kuhusu wao? Nao kila mmoja wapo atapewa wanaume 70 wa kumt*omba ama vp? Yan dini ni ujinga mkubwa sana
Ndio nikakuambia wewe umedanganywa na ukadanganyika.Kama ilivyo Lazaro alivyopakatwa na Mwanamne mwenzake Ibrahimu.Kwa hiyo na wewe unasubiri uwende Mbinguni,ukapakatwe na mwanamme mwenzako Ibrahimu.Sasa chagua upate Bikira 70 wanawake au uwende ukapakatwe na mwanamme Ibrahimu.
ACHA KUDANGANYWA ,UKADANGANYIKA,WATU WANALETA TAFSIRI POTOFU ZA IMANI.
 
Kwahiyo ni kweli kuwa mbinguni kazi itakuwa ni moja tu ya kut*omba? Maana wanawake 70 sio mchezo. Sasa kama kila mtu anat*omba hiyo itakuwa ni sehemu takatifu au danguro? Na vipi kuhusiana na wanawake wa kiislamu watakaoenda mbinguni, vp kuhusu wao? Nao kila mmoja wapo atapewa wanaume 70 wa kumt*omba ama vp? Yan dini ni ujinga mkubwa sana
Wewe hauna tofauti na wapuuzi wengine
 
This is very sensitive issue, kama serikali na jeshi la polisi litachezea hii issue basi huko mbele wasije wapakazia wapinzani.

Alafu hawa vijana wanapopewa elimu ya mapigano na kujitoa mhanga, baadaye wanaruhusiwa kuondoka kurudi makwao as if ni mbinu ya kuhadaa umma kuwa kijana katoroka au ka_sarrender kaamua kurudi nyumbani.

Ndani ya moyo wake tayari kalishwa yamini, roho ya kifo na uuaji ndiyo anatembea nayo, kumbuka huko kwenye mafunzo hakuna Upendo au Roho nzuri ni roho za kifo ndizo zinatawala na kufanyiwa kazi.

So wazazi, ndugu, jamaa nk msishangilie pindi ndugu zenu wakirudi bali ndipo kilio kianzie hapo, maana wanarudi kuja kufanya uangamizi kwa jamii.

😢 It's very sad.
 
Zanzibar wasipobanwa vizuri ugaidi utashamiri sana
Kwa neno lako hili ndio sasa naona mwangaza wa picha yenyewe inavyochezwa.

Hawa vijana si watu wa dini kihiivyo,lakini hapa ZNZ Huwa wanatekwa na Vikosi na wengine huuwawa au wengine kujeruhiwa wala serikali haikuwahipo kutowa kauli kukemea au kushutumu.
Majeruhu tunao mitaani.
Nini kitu gani kitatufanya tusi watuhumu tena watu wa Janjaweed na Vikosi vya SMZ ambao wamezowea kukamata na kutesa?
HILI LA KWENDA KENYA NI UONGO NA GERESHA YA KUPOTEZEA,
MIMI NAAMINI HAWA VIJANA WAPO NCHINI WAMEFICHWA NA WATESAJI WALIOZOEA KUTESA NA KUUWA.
SEMENI UKWELI KAMA MSIOJULIKANA MUMESHA IBUKA TENA NA KUANZA KUHUJUMU RAIA
 
1662218157493.png
Mtu huyu kateswa na vikosi hapa ZNZ karibu kuvunjwa uti wa mgongo, stori yaske imo humu JF .hakuna uchunguzi wala kuwajibishwa , wala haikuonekana kuwa ni tatizo.
wako wengine wamepotea miaka hawaonekani wala hawajulikani walipo,
Hatushangai leo kuona mambo haya yanajirudia hapa ZNZ na pengine huko Bara.
WASIOJULIKANA WAKO KAZINI, ALSHABABU NI KISINGIZIO TUU, WAZANZIBAR HAITUHUSU NDEWE WALA SIKIO
 
Kwa neno lako hili ndio sasa naona mwangaza wa picha yenyewe inavyochezwa.

Hawa vijana si watu wa dini kihiivyo,lakini hapa ZNZ Huwa wanatekwa na Vikosi na wengine huuwawa au wengine kujeruhiwa wala serikali haikuwahipo kutowa kauli kukemea au kushutumu.
Majeruhu tunao mitaani.
Nini kitu gani kitatufanya tusi watuhumu tena watu wa Janjaweed na Vikosi vya SMZ ambao wamezowea kukamata na kutesa?
HILI LA KWENDA KENYA NI UONGO NA GERESHA YA KUPOTEZEA,
MIMI NAAMINI HAWA VIJANA WAPO NCHINI WAMEFICHWA NA WATESAJI WALIOZOEA KUTESA NA KUUWA.
SEMENI UKWELI KAMA MSIOJULIKANA MUMESHA IBUKA TENA NA KUANZA KUHUJUMU RAIA
Unataka ushahidi gani tena..kama wazazi wa hao vijana wametoa ushahidi namienendo yao kuhusiana na hao vijana..wewe utakua ndio hao mnao warubuni vijana..unataka kuhamisha goli.

Hakika mtashughulikiwa tu..msitake kuvuruga amani ya nchi kwa illusions zenu za kipumbafu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tusichoshane sana kwa vimifano vyako vy kujiokoteza..wapi uliwahi ona mkristo ana ua mkristo mwenzake kisa dini..

Ila suni na shia je wanakalika pamoja??

Anyway tuwalinde ndugu zetu na tulinde nchi yetu hawa religion extremists hawafai kuchekewa hata kidogo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Extremist hawatakiwi kuchekewa hata kidogo. Wanatakiwa wawe crushed mapema sana. Maana hawana huruma. Hivyo hawatakiwi wahurumiwe
 
Unataka ushahidi gani tena..kama wazazi wa hao vijana wametoa ushahidi namienendo yao kuhusiana na hao vijana..wewe utakua ndio hao mnao warubuni vijana..unataka kuhamisha goli.

Hakika mtashughulikiwa tu..msitake kuvuruga amani ya nchi kwa illusions zenu za kipumbafu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jifunze kuunganisha Dots.
Upepo unaelekezwa kusini wakati watu wanaelekea kaskazini.
Ukweli utadhihiri si mbali , wakati ni mwalimu.
Time will tell,
Naamioni watu wa Usalama wapo kazini.
Ila wawe wakweli tuu.
Mimi naamini wenye kujua kazi zao wala haichukui muda .
 
Nimecheka (kwa masikitiko) sababu aliyoiandika huyo kijana Seif kwenye barua, Inaonekana wazi ni jamii ya watu wasio na maarifa na uelewa wa nini maana ya dunia.
 
Kama hao wanataka bikra 70,huko Ireland ya kaskazini,Sudani ya kusini,Kongo,Rwanda,Burundi,Urusi,Ukraine,M23,huko nako wanataka nini,wakiwa ni wakristo 100%,au wanataka wakapakatwe na Ibrahim,kama yule Lazaro,alivyopakatwa.
Labda na wao wanataka masista 70😂😂😂😁😂🤣😆

Hahhhahhha
 
Labda na wao wanataka masista 70😂😂😂😁😂🤣😆

Hahhhahhha
Je, kitengo kinaweza kuandaa propaganda kama hizi ili kuhalalisha mambo fulani? Na ujuwe kitengo kikicheza ''movie'' kama hii utasikia na kuona ushuhuda kutoka kwa familia ''zilizopotelewa'' na vijana, na kila aina ya story zenye ushahidi. Sipingi ila naomba hili jambo tuliangalie kwa macho makubwa.
 
True.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom