The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani

zanzibar ndio mlango wa kupitisha magaidi na kuchukua vijana wetu.

magaidi wengi wanatumia sehemu hiyo sana.

hata ripoti ya kibiti na mkuranga walitokea huko.

tanga amboni walitokea huko.
kipindi cha mwalimu miaka hiyo kule iringa walitokea huko.
mtwara na mozambique walitokea huko.

kuna upelelezi mwingi ambao jeshi la polisi na TISS mpaka wakumbushwe na CIA ila wapo bize na CCM kulinda chama
 
Namna ya kudhibiti hili naona ni wazazi kuwa karibu zaidi na watoto wao.

Nimesoma hapo naona wapo wazazi walioona watoto wao wanaanza kubadilika tabia lakini hawakuchukua hatua zozote mpaka pale wanao walipoondoka.

Tena kama huyo dada wa kijana aliyepotea, anasema aliona meseji kwenye simu ya kaka yake kutoka kwa hao wanaowachukua vijana ikisema jitahidi baba na mama yako wasijue.

Kama hatua za tahadhari zingechukuliwa kwa haraka haya matukio yasingetokea, hapa kuwalaumu jeshi la polisi kwenye hili naona ni sawa na kuwaonea kama sisi kwenye ngazi ya familia hatuchukui hatua za haraka.

Wasiwasi wangu ni pale ambapo hao vijana wanaotoroka nchi wakishapata hayo mafunzo yao, je, wataishia ku-practice huko nje au watakuja ku-practice na hapa ndani kwetu?

Yale matukio yaliyotokea Kusini kwa magaidi kutoka Msumbiji, na kule Kibiti, ni mfano mmojawapo kwamba hao vijana wanaweza kuja ku-practice hayo mambo hapa nchini kwetu, hali yetu ya usalama itaanza kuyumba kama tusipokuwa makini.
 
Zanzibar wasipobanwa vizuri ugaidi utashamiri sana
Kwanini isiwe Bara badala ya Zanzibar? Zanzibar ni kisiwa hakuna hata kichaka cha kujifichia lkn Bara kuna misitu mikubwa na mapori ambayo ni rahisi kutumiwa na watu wabaya. Inataka kujenga hoja zenye mashiko kuituhumu Zanzibar kuwa inaweza kutumiwa kwa uhalifu wa aina yoyote ile.
 
Zanzibar ni rahisi. Sababu elimu ya dini ipo juu sana.. na hakuna mchanganyiko mkubwa kama bara. Zanzibar 99 % ya population ni dini moja. Hivyo kushawishi vijana ni easy sababu wote wako njia moja.

Tofauti na bara John best friend wake ni Juma. Mohamed demu wake ni Nancy.
Unaanzia wapi kumshawishi mtu hapo aende Jihad
 
Hawa wenzetu huwa wanaingiwa na nn kama ni kukataa dhulma hizo njia wanazo chukua ndio wameona ni sahh 😐
 
Hawa wenzetu huwa wanaingiwa na nn kama ni kukataa dhulma hizo njia wanazo chukua ndio wameona ni sahh
Hawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.

Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.

Ni roho ya ushetani tu imewajaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar ni rahisi. Sababu elimu ya dini ipo juu sana.. na hakuna mchanganyiko mkubwa kama bara. Zanzibar 99 % ya population ni dini moja. Hivyo kushawishi vijana ni easy sababu wote wako njia moja.

Tofauti na bara John best friend wake ni Juma. Mohamed demu wake ni Nancy.
Unaanzia wapi kumshawishi mtu hapo aende Jihad
Ugaidi hahusiani na dini yoyote ,usidanganywe,ziko nchi kama Dubai,Abu Dhabi,Bahrain,Qatar,Brunei,Oman, nk,ni 100% waislamu wananchi wake,mbona hakuna mambo hayo.
Ukiangalia Ireland ya kaskazini,100% ni wakristo,waprostant na wakatoliki,wamepigana miaka na vitendo vya kigaidi,ukija Sudani ya kusini 85%,ni wakristo wanauana mpaka kesho,ukija Rwanda,Burundi,Kongo ni hivyo hivyo.Ukija Ukraine na Urusi,vita vimepamba moto.
Wanaopigana ni kwa masilahi ya rasilimali,kama mafuta,alimas,dhahabu,shaba,gas nk.Sio kwa ajili ya dini,usidanganyike.
 
Hawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.

Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.

Ni roho ya ushetani tu imewajaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama hao wanataka bikra 70,huko Ireland ya kaskazini,Sudani ya kusini,Kongo,Rwanda,Burundi,Urusi,Ukraine,M23,huko nako wanataka nini,wakiwa ni wakristo 100%,au wanataka wakapakatwe na Ibrahim,kama yule Lazaro,alivyopakatwa.
 
Zanzibar ni rahisi. Sababu elimu ya dini ipo juu sana.. na hakuna mchanganyiko mkubwa kama bara. Zanzibar 99 % ya population ni dini moja. Hivyo kushawishi vijana ni easy sababu wote wako njia moja.

Tofauti na bara John best friend wake ni Juma. Mohamed demu wake ni Nancy.
Unaanzia wapi kumshawishi mtu hapo aende Jihad
Hapa tunazungumzia uwezekano wa hayo kutokea na hatuzungumzii uwingi wa waumini wa dini. Hoja yangu ni kwamba Zanzibar hakuna hata kichaka cha kujifichia, hiyo jihad itafanywa mitaani? Na ikifanywa mitaani itakuwa ni tishio wakati askari wapo? Tujenge hoja zenye mashiko siyo fikra zisizokuwa na uzito kwa sababu tu Zanzibar kuna waumini wengi wa dini moja. Akili ya kuambiwa ongeza na yako.
 
Wale wanaojitoa muhanga hujiripua wakiwa maporini??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.

Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.

Ni roho ya ushetani tu imewajaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpuuzi Sana ujue....mara nyingi Sana huangalii mantiki Ila chuki ya udini Tu.....wachangiaji wote wameliangalia Jambo Kwa kipawa cha Ugaidi na athari zake lkn wewe upuuzi umekujaa Sana Kaka

Kama umesoma vzr hii habar hata sheikh amesema hakuna jihad ya namna hiyo kwasasa,na jihad ina misingi yake taratibu zake....jihad ambayo ipo sasa hivi ni jihad ya nafsi....kupambana kuachana na maovu na mambo machafu,kuacha zinaa,ulevi,kamari na na na mabaya yote.

Acha ujinga Kaka!
 
Kama hao wanataka bikra 70,huko Ireland ya kaskazini,Sudani ya kusini,Kongo,Rwanda,Burundi,Urusi,Ukraine,M23,huko nako wanataka nini,wakiwa ni wakristo 100%,au wanataka wakapakatwe na Ibrahim,kama yule Lazaro,alivyopakatwa.
Tusichoshane sana kwa vimifano vyako vy kujiokoteza..wapi uliwahi ona mkristo ana ua mkristo mwenzake kisa dini..

Ila suni na shia je wanakalika pamoja??

Anyway tuwalinde ndugu zetu na tulinde nchi yetu hawa religion extremists hawafai kuchekewa hata kidogo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtu na akili yake, yupo tayari aende akauawe ili aende " mbinguni" akat*mbe wanawake 70. Kuna ujinga mwingi sana
 
Wewe hujui kama wakatoliki na waprostant,wameuana miaka nenda rudi,huko Ireland ya Kaskazini.
Hapo Uganda Askof Joseph Kibweteere,aliwauwa wakristo wengi tu,malaki ya wa kirsto,na alikuwa Roman Chatolic,akaaanzisha dhehebu lake,linaitwa Kufufua Amri kumi za Mungu,aliwachoma moto wakristo 778,mbali ya makaburi yaliokutwa kwenye kanisa lake na makazi yake.Aliuwa watoto wadogo,wanawake,wanaume,vijana,wazee,Alitekeleza unyama huu akiwa na viongozi wenzake wa kanisa,Ursula Komuhangi,Credonia Mwerinde,na Dominic Kataribabo.
Waliua wakristo zaidi 778,na Polisi walisema waliouwaw ni zaidi ya hao.
Aliwadanganya wakristo,wampe mali zao,mwisho wa dunia ulikuwa umefika,akasema ameoteshwa na Bikira Maria.
Hawa walikuwa na ugomvi na kanisa Katoliki.
Kuna familia zilipoteza,mama na watoto 11,.
Joseph Kony,huyu mkristo aliwatesa wakristo wenzake,bila huruma na wenzake wakristo,kuwakata pua mikono,miguu,kuwatoboa macho,na kuwaua vifo vya kikatili.Yeye alikuwa kiongozi wa kikristo wa Lord Resistance Army,Uganda.
 
Yaani mtu na akili yake, yupo tayari aende akauawe ili aende " mbinguni" akat*mbe wanawake 70. Kuna ujinga mwingi sana
Wewe utakuwa umedanganywa kama hao waliodanganywa ,hakuna kitu kama hicho.
Askof Joseph Kibwetere na wezake,wakanisa la Amri kumi za Mungu(hawa kwanza walikuwa wakatoliki),Uganda,aliwachoma moto wakristo 778,kwa kuwadanganya wampe mali zao,kwa vile kaoteshwa na Bikira Maria,mwisho wa Dunia,na inasemekana aliua zaidi ya 778,bali ya makaburi yaliyokutwa kwenye kanisa lake na kwenye makazi yake.
 
Kwahiyo ni kweli kuwa mbinguni kazi itakuwa ni moja tu ya kut*omba? Maana wanawake 70 sio mchezo. Sasa kama kila mtu anat*omba hiyo itakuwa ni sehemu takatifu au danguro? Na vipi kuhusiana na wanawake wa kiislamu watakaoenda mbinguni, vp kuhusu wao? Nao kila mmoja wapo atapewa wanaume 70 wa kumt*omba ama vp? Yan dini ni ujinga mkubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom