The Bold: Shukrani Wakuu

The Bold: Shukrani Wakuu

Daa nakukubali sana The Bold yani nataman thread yoyote utakayo post notification ije kwamba umeshadondosha kitu mm nikusoma tu pamoja sana mkuu
 
Kwa kweli huwa najisikia huzuni na simanzi mnaposifiana na kutajana majina eti ndio waliowakuna kwa hoja.........na kusahau kuwa hata kama hatuna Point lakini tunasaidia Kupump threads zenu...........haya Bhanaaa.................!!!! Najuta kwanini nilisoma Post hii inaubaguzi sana..........
 
Aaaaaaahh hapana Mkuu sio hivyo bhana! Hujaona paragraph ya kwanza kabisa nimeshukuru kila mtu na kudeclare kabisa kila mtu JF ni wa muhimu..

Nathamini sana sapoti yako Mkuu MJINI CHAI
 
Wow! Shukrani sana sista geniveros..
Walahi tunafarijika sana kuona mpo watu ambao mko happy for us!

Tunakupenda sana Sista! Shukrani sana kwa kututakia kheri na kututia moyo..
thank u too for being there for her...

hujui tu kiasi gani nampendaga nifah coz I always count on her..
hapa jf wadada wawili nifah na heaven...nawapenda mnooo!

nawaombea sana sana mufike salama...!!
 
Aaaaaaahh hapana Mkuu sio hivyo bhana! Hujaona paragraph ya kwanza kabisa nimeshukuru kila mtu na kudeclare kabisa kila mtu JF ni wa muhimu..

Nathamini sana sapoti yako Mkuu MJINI CHAI
Pamoja na kushusha simazi yangu......Lakini kwa ujumla Threads za aina hii huwa zinawabagua Watu humu ndani..........Ungetushukuru wote bila kutaja majina ingekuwa bora zaidi........
 
thank u too for being there for her...

hujui tu kiasi gani nampendaga nifah coz I always count on her..
hapa jf wadada wawili nifah na heaven...nawapenda mnooo!

nawaombea sana sana mufike salama...!!
Insha allah naamini Mwenyezi Mungu ataleta kheri tutafikia malengo tuliyonayo mioyoni..

Nampenda sana Mdogo wako Nifah, sana.. I seriously want to spend the rest of my life with her! Namuomba sana Mwenyezi Mungu kila siku ili hilo litimie..
 
ameen yarabalaaminii!
kila la kheyr aiseehh!

nawaombea kwa kweli sina cha kuongeza maana nkisema sana ntakua nadanganya au ntaharibu sasa!
 
Pamoja na kushusha simazi yangu......Lakini kwa ujumla Threads za aina hii huwa zinawabagua Watu humu ndani..........Ungetushukuru wote bila kutaja majina ingekuwa bora zaidi........
Sawa Mkuu! Nitazingatia hilo next time.. Nathamini mchango wa kila member..
 
Back
Top Bottom