Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Witness naanzaje kukusahau mpenzi?Tumetoka mbali zaidi ya mbali,tumepiga umbea na kusaidiana mambo kadha wa kadha.Heee usinisahau shoga angu tumetoka mbali hivyoo..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nakupendaga mwaya shoga angu wa mie..
Love you nifah...
Asante kwa kuwa happy kwetu mimi na shemejiyo.
I'll never forget your kind darling.
Nakupenda zaidi [emoji8] [emoji8] [emoji8]