The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Usijaribu utaaibika ndugu yangu..!!
Wanaume wa humu km bahari wengine wanaoga kawe, wengine bagamoyo na wengine kigamboni..!!

Jimalize likukute jambo, si unakumbuka Mrs none alivyotupa ubuyu alitaka kuliwa na Miongozo na washaplan pa kukutania..!!
Na hapo walipangwa km kijiji 😹😹😹
Tena wapole wastaarabu ila kaburi likifukuliwa ndio utajua ujui. Sitajaribu 😀😀
 
Sijawahi kufikia hatua hiyo bana labda niamue kumzingua tu lakini sio eti kumtaka kabisa
Kwani ukimtaka kuna shida gani? 😹😹
Halafu humu bana ukimsifia mwanaume ukijifanya mpenzi wako basi mademu wengine wanakuja kujichekesha kusudi ili waone yaliyomo yamo..!! Hii ilinitokea kwako nilikua nacheka sana..!! 🤣🤣😹😹

Hivi hukushangaa ulipata marafiki wengi ghafla? 😹
Siku hizi namtania chino utani tayari wako kujiweka, wataliwa kwa mkopo we waache wajimix..!! Mi nawajazaga mwenzao 🤣
 
Ngoja nijiwekee simu chaji kabisa 😀😀😀
Ile siku aliwapaka na coca nikabaki nacheka 😹😹😹
Zile nguvu zilitokana na mimba ndiomana nikatulia nisije kumuharibia mtoto udugu wangu, ninavyompenda alete baby girl 🥰🥰
 
Ile siku aliwapaka na coca nikabaki nacheka 😹😹😹
Zile nguvu zilitokana na mimba ndiomana nikatulia nisije kumuharibia mtoto udugu wangu, ninavyompenda alete baby girl 🥰🥰
Nnatamani kuuuliza swali fulani lakini naogopaa🤣🤣🤣🤣......mrs none, coca, trudie wote alituweka kwenye mstari 🤣🤣🤣
 
Kwani ukimtaka kuna shida gani? 😹😹
Halafu humu bana ukimsifia mwanaume ukijifanya mpenzi wako basi mademu wengine wanakuja kujichekesha kusudi ili waone yaliyomo yamo..!! Hii ilinitokea kwako nilikua nacheka sana..!! 🤣🤣😹😹

Hivi hukushangaa ulipata marafiki wengi ghafla? 😹
Siku hizi namtania chino utani tayari wako kujiweka, wataliwa kwa mkopo we waache wajimix..!! Mi nawajazaga mwenzao 🤣
Kizuri kula na nduguyo bwana haiwezekani umsifie bebe wako halafu tukae kizembe weee
 
Ofisi ya Forex yule ya jamaa alikuwa anaitwa Ontario kama sikosei ndio bidada alikuwa anafanya kazi huko na picha alikuwa anapost sana kutafuta wateja. mengine ongezea kwa dots....maana nyuki hawakawii kuja kung'ata kwa makundi humu Lamomy

Ila JF kulikuchaaa
hiyo kung'ata eeeeh
Makundi yalikuwa balaa... lazima bond zipo bado, though wengine kimya na ID mpya wana balance kama sio wa enzi
 
Ule mchongo wa forex wa tapeli ontario kumbe na huyu nifah alikuwemo? So walikua wanashirikiana na Ontario kutapeli? Sasa nimeanza kuelewa. Huyo bold nae alikuwemo?

Nifah
walikuwa kazini
huyo alikuwa kama kawapa dili la kazi na kufundishwa
huyo hakudili na waliotoka humu kuchezesha yake, bali alipata wateja humu wakiwemo

sifikiri hadi leo walijuana kabla nje ya humu JF
 
Kwani ukimtaka kuna shida gani? 😹😹
Halafu humu bana ukimsifia mwanaume ukijifanya mpenzi wako basi mademu wengine wanakuja kujichekesha kusudi ili waone yaliyomo yamo..!! Hii ilinitokea kwako nilikua nacheka sana..!! 🤣🤣😹😹

Hivi hukushangaa ulipata marafiki wengi ghafla? 😹
Siku hizi namtania chino utani tayari wako kujiweka, wataliwa kwa mkopo we waache wajimix..!! Mi nawajazaga mwenzao 🤣
Mbona sijawahi kuona hilo😅
Hao mademu ni kina nan?😅
 
Ndio alikuwa secretary ofisini pale kama sikosei. Kuhusu huyo Bold sijajua kama alikuwemo pia. Niffa ninasema sababu nilishamsindikiza mtu pale Jangid Plaza nikamwona siku zimetumwa picha hapa nikamkumbuka.
Yeah na baada ya kujirusha waliandika wengine kumuonea hapo ofisini
Ndio secretary na kama receptionist pia, na ni kama Bold alimpa konektion alipoenda kwa ya huyo mwenye ofisi nae akawa anakuwepo. couple walivyopendana
wameacha historia humu
ilinogesha wengine kupenda kukutana na watu humu wa umri wao sijui wenu 😀
 
Ile kapo ilikuwa strong mno. Hata sijui kilitokea nini jamani wakalala yoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom