Mungu ni 'ROHO' halisi kamili kabisa. Ni Takatifu,. Kwa kawaida Roho haishikiki,haionekani kwa macho ya kawaida,ROHO Ipo kila Mahali,INASIKIA,INAONA,HAILALI,HAIPUNGUI,HAIFI,HAIBABAIKI,INAUMBA,INAFARIJI,INAADHIBU,INAJIBU,..nk. Hivyo Mungu ni kila kitu,WAKATI huu unapumua,hiyo ni kazi yake 'ROHO YAKE' Aliyokuumbia na kukutilia ili upate kuwa hai kimwili,maana yake ni kwamba,ndiyo inayoupatia mwili wako Kuwepo,japo tunajitia kiburi na maringo mengi,kana kwamba tunao uwezo wa kila kitu. Kumbe UKWELI NI KWAMBA SISI SI LOLOTE BILA ROHO(MUNGU.).. Asanteni.