Glad to hear that sweetheart. Hongera sana kwa hilo but usijisahau you never know may be she is incubating!! So stay awake always
Nyie watu sio kwamba mnatumia unvariable measures kupima upendo kwa wake/spouses wenu na watoto wenu?
Mnasema they have pure love, they have uncondition sijui nini, c'mon guys what do you expect? wabehave kama wake zenu kwani wao ni wake zenu? There is no way mtoto atakupenda tofauti kwa kuwa ni mtoto na katu huwezilinganisha trust yake yeye kama mwanao na ile itokayo kwa mkeo! Kila mmoja anaplay kutokana na nafasi yake katika maisha yako bwana hebu acheni hizo!
Mlishawahijiuliza how do we feel (and the same linaapply kwa wanaume) when you put much love, time kwa watoto wetu zaidi ya wenzi wetu?! au tunajiona ni right kwa kuwa tu ni right na mnaashumu inaeleweka kwa kuwa tu inaeleweka?