Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
....a concotion for a disaster!...
find a way buddy, apologise, apologise, apologise....
wanawake ni wingi wa kuelewa na kusamehe...
usijifanye kutumia ubabe ukamhamisha idara au kumfukuzisha kazi 'sexual harrassment'...
hakuna ubabe hapo utoweza kukusaidia...ni kujishusha tu!...
...nimekumbuka jamaa yangu kila akikatiza corridor za ofisi vicheko vilikuwa vinamfuatia, kumbe
tayari bibie alishamchoresha 'landrover yake mpaka ipigwe hendeli ndio iwake,...!'
halafu ati ni short chassis....aaaarrgghhhh!....
...utabishaje hapo, unless u demonstrate matumizi ya 4wheel drive mbele yao!
hahahahahah...vitimbwi kila kukicha wewe!...nimnecheka sana, but hiyo ya kusemana hivyo mie naona ya kiswahili sana...njia mbadala ni kumchunia tu, hakuna cha salama wala salimini....mapenzi ya kazini nayo magumu bwana.