The best way to breakup. Is there any?

The best way to breakup. Is there any?

Mie nadhani inategemea na huyo mtu how matured she/he is.

Kama mtu na akili zake atafurahi kuambiwa ukweli mapema japo unamuuma, na naamini kazini hatakuwa na longolongo. Ila kama mliachana kwa visa ndio anaweza kuwa na sababu za kuleta balaa bin vurumai kazini.

that teacher.... hebu soma kuanzia mwazo

sina visa yeye yuko bitter
 
Ila imenikumbusha nyimbo moja, jamaa anasikitika baada ya kuachwa

Leo umesahau, ulivyonijia huku ukitapatapa
Kisha ukadharau, ukashika njia gilasi ukaitupa
si kama nasimbulia, maji hayo nilokupa

Mwenzangu nisaidie, utulize yangu kiu
tena unihurumie, naapa sito dharau (Source: old song called Kiu)

Kwa hiyo kuachana na mtu ukakutana na ving'ang'anizi na wasioelewa ni kawaida. Na uanaume wako upo kwa namna utavyoweza ku handle situation.
 
that teacher.... hebu soma kuanzia mwazo

sina visa yeye yuko bitter

Wewe ulimkosea ulipoachana nae kwa wimbo! Naelewa huyo mwanamke kachukuliaje uachwaji huo. Kaona ni dharau; yaani "huna nae hata ihsani ya kumwambia kwa mdomo?"

Omba radhi mapema :]]
 
very good insight. u talk things out like adults, apologise and explain that was what u thought would work,and it somehow did!
hapo kwenye bolded blue, u ar so right. Aisee, mind games with a woman! mi naogopa wanawake wenzangu kuliko wanaume,kha!
...clear the air asap....kinyume na hapo mmoja wenu ataharibu kazi....
conflict of interests....

hata kama ulimaliza nae usongo wote, utavumilia kumuona 'akitoka'
na subordinate wako?...

kumbuka;
women are better players wa mind games!
 
Buddies...

In life we all have relationships, desired or accidental!! and at one time we have to call quit, and most important we need to part peacefully and respectfully, as a sign of appreciation and respect as well as cherishing all teh good memories

sasa inapotokea kwamba that proces of sepration inakua ngumu, you cant say goodbye kwa vitendo, whenever you see the other party you end up melting, swelling and as soft as a loaf

what would be the best day???

Back in the days, i remember i wrote a letter and a packed a tape of Byran white (country singer) with a song recorded both sides, the lady hated me, and thanks God i never saw her again; i thought i am successful, unfortunately... somewhere somehow our paths have crossed and she really hate me coz the card and the song was sooo mean; ladies and gents, please advice
is the
re any way to break with some positively??

listen to the song i sent

http://www.youtube.com/watch?v=YRie0sHe6w0&feature=player_detailpage
Swahiba, nasikitika kukwambia kwamba hakuna the best way to break up, break up zote ni disaster tu, kama umenuniwa tu shukuru sana, Kuna wengine wananuniwa halaf wanashushwa busha vile vile.
kama hana time na wewe songa mbele tu jibaba! Lakini zingatia pia maelezo ya mkuu moskwito, isje ikawa ulimchezea kihisia wakati wa malavidavi, hapo lawama zote zitakulejea wewe.
 
...clear the air asap....kinyume na hapo mmoja wenu ataharibu kazi....
conflict of interests....

hata kama ulimaliza nae usongo wote, utavumilia kumuona 'akitoka'
na subordinate wako?...

kumbuka; women are better players wa mind games!
i noted hiyo underlined, na nikajaribu kwenye welcome party yangu kumwambia hi... alivuta mdomo kama kinyongan

a tuko kisiwani, then i noted malice and wrong expectations from her

my apprac for is to pretend that i have never met her and stick to my game plan basi!!!

but its really sad
 
Swahiba, nasikitika kukwambia kwamba hakuna the best way to break up, break up zote ni disaster tu, kama umenuniwa tu shukuru sana, Kuna wengine wananuniwa halaf wanashushwa busha vile vile.
kama hana time na wewe songa mbele tu jibaba! Lakini zingatia pia maelezo ya mkuu moskwito, isje ikawa ulimchezea kihisia wakati wa malavidavi, hapo lawama zote zitakulejea wewe.
thanks swahiba at least we share hiyo shida aisee

yani kawa kama dubu
 
very good insight. u talk things out like adults, apologise and explain that was what u thought would work,and it somehow did!
hapo kwenye bolded blue, u ar so right. Aisee, mind games with a woman! mi naogopa wanawake wenzangu kuliko wanaume,kha!
halafu wee na hilo gobore lako na mibange ya arusha imekuharibu kweli

huko nyuma hukuwa hivyo
 
nyuma wapi,ujue nimegeuka nimeona ukuta! i dont blv in witchcraft,shindwaa!! na usisahau bhange nimeiga kwako!
(i love mind games, i guess im a woman,lol)

U'd never be a woman

duh
 
i noted hiyo underlined, na nikajaribu kwenye welcome party yangu kumwambia hi... alivuta mdomo kama kinyongan

a tuko kisiwani, then i noted malice and wrong expectations from her

my apprac for is to pretend that i have never met her and stick to my game plan basi!!!

but its really sad

....a concotion for a disaster!...
find a way buddy, apologise, apologise, apologise....

wanawake ni wingi wa kuelewa na kusamehe...
usijifanye kutumia ubabe ukamhamisha idara au kumfukuzisha kazi 'sexual harrassment'...
hakuna ubabe hapo utoweza kukusaidia...ni kujishusha tu!...

...nimekumbuka jamaa yangu kila akikatiza corridor za ofisi vicheko vilikuwa vinamfuatia, kumbe
tayari bibie alishamchoresha 'landrover yake mpaka ipigwe hendeli ndio iwake,...!'
halafu ati ni short chassis....aaaarrgghhhh!....

...utabishaje hapo, unless u demonstrate matumizi ya 4wheel drive mbele yao!
 
sasa wewe moskito.............. niapologize for what??? kuachana nae, kuomba kazi pale au nini??

aisee, yani unazidi kuninyima mileage
 
Omba radhi kwa kumuwacha kwa mtindo ule. Mwanamke anaona umefanyia dharau isiyomfano, na ndio maana na yeye sasa anaamua kuleta dharau.
i will do that teacher, ingawa naona anchofanya sio dharau bali kujidhalilisha coz i am the supervisors

ema ndio hivyo ughaibuni inabidi uwe mpole
 
Swahiba, nasikitika kukwambia kwamba hakuna the best way to break up, break up zote ni disaster tu, kama umenuniwa tu shukuru sana, Kuna wengine wananuniwa halaf wanashushwa busha vile vile.
kama hana time na wewe songa mbele tu jibaba! Lakini zingatia pia maelezo ya mkuu moskwito, isje ikawa ulimchezea kihisia wakati wa malavidavi, hapo lawama zote zitakulejea wewe.

Ni kweli kabisa, hakuna the best way ya break up............... zote zina matatizo yake. hata ukiamua kumwambia mtu ukweli, siyo the best way. inategemea mtu atalichukuliaje hilo. la maana tu ni kuomba Mungu huyo mtu akuelewe, na aelewe kwamba hisia za mapenzi huwa zinaisha, ingeweza hata kumtokea yeye kuacha kukupenda.
unachotakiwa kufanya kwa sasa jitahidi kuwa mbali naye, baada ya muda atasahau na maisha yataendelea
 
i will do that teacher, ingawa naona anchofanya sio dharau bali kujidhalilisha coz i am the supervisors

ema ndio hivyo ughaibuni inabidi uwe mpole

Raha ya ughaibuni ni kuwa you dont have to be friends with your supervisor.....na ndio maana labda hajali. Anajua fika kuwa huwezi kutumia wadhifa wako vibaya. Na usikute ana hamu utuumie vibaya akushtaki kwa harassment.

Fanya kile unachoweza kumkuomba radhi, baada ya hapo asipokubali basi unaachana nae, lakini usiseme hujawahi kumuona wala humjui maana kikitokea chochote itakula kwako.
 
i noted hiyo underlined, na nikajaribu kwenye welcome party yangu kumwambia hi... alivuta mdomo kama kinyongan

a tuko kisiwani, then i noted malice and wrong expectations from her

my apprac for is to pretend that i have never met her and stick to my game plan basi!!!

but its really sad

hapo kwenye bold imebidi nicheke, lol

Ni vema ujirudi, omba msamaha kwa namna uliyomwacha sio sahihi, Sie wanawake ni wepesi sana wa kusamehe.
 
Huyu mtu ulishamuacha... mkapoteana (for how long)?
Umekutana naye katika mishe mishe za maisha... bado anakuchukia

Ok, hapa hutafuti "best way to break up" ila unahitaji ushauri namna ya kuondoa ile chuki kwa yule dada na akuelewe na akuone wa kawaida...

Ngoja nitarudi
 
dah.... swahiba haya mambow e acha tu

tumemalizana ila sasa badala ya friendship au hata basi respect, imekua uadue kama hatujawahi kutumia kijiko kimoja

mie niliambiwaga ukweli, kutokana na yale maumivu yaani jamaa ni adui yangu mpaka milele, ctakaa niwe na adui kama yeye maishani, baada ya kukuumiza umeshapoa anajidai ooohh haaaa...ovyo kabisa! ni ngumu kusamehe aisee japo nashukuru aliniambia ukweli kuliko angeniletea vi2ko....
 
Back
Top Bottom