The best way to breakup. Is there any?

MTM na Mbu am sorry kwa kuwakera
I responded the way I did kufuatia post ya MTM alosema kuwa wanae hawajali kama karudi usiku au ametoka sijui kufanya nini ndio maana nikasema hawawezimisbehave au kuwa wakali au kununa kwa kuwa wao hiyo haiwagusi kama inavyomgusa mke. So si sawa kulinganisha trust yao na upendo wao kwako na wa mkeo! ni vigezo tofauti kabisa vitakavyotumika hapo.

But I concur with you kuwa upendo wa mzazi kwa wanae ni beyond any explanation!
Mbarikiwe na kupata nafasi mioyoni mwenu ya kunisamehe kama kuna any unintended meaning from my post.
 
Kama wewe umemchoka; jitahidi kufanya vituko bila kuwa abusive ili naye akichoke na aamue kubreak up; in that way lengo linatimia na mwenzio atajisikia vyema coz atajiona yeye kakuacha!

Nyingine ni umbali; husaidia sana break-ups

Ya mwisho ni kuambizana ukweli (l prefer this), inauma kwa muda lkn mwisho wa siku kinaeleweka!

Hilo la mwisho lugha yako huplay part kubwa; mfanye aamini issue sio yeye ni wewe; na unampenda enough not to continue hurt her/im na kwamba snadesreve a far better person than u etc!

Hapo kwenye RED mimi sikubaliani napo hata kidogo bwana......kwanini msiambizane ukweli tu yaishe mpaka mfaniane vituko wajameni??? Wanaume mna matatizo sana au labda wanawake wengi wamewaonyesha wanapendwa kudanganywa ndio maana mnakua mnatumia mbinu za ajabu ajabu mpaka kwenye kuachana,mm inanikera sana. Just tell me straight u dont feel me anymore,nitakuelewa mambo ya kuanza kurushana roho sijui vikapanda vikashuka yote hayo ya nini bwana????after all kuna siku itafika nitaujua ukweli tu sasa si ni bora tuongee vizuri yaishe kila mtu achukua time zake!!!!
 
dah.... swahiba haya mambow e acha tu

tumemalizana ila sasa badala ya friendship au hata basi respect, imekua uadue kama hatujawahi kutumia kijiko kimoja

Pole sana mkuu. I really dont understand those kind of people sasa wao jema ni lipi??? Mpaka mgombane na kurushiana ngumi ndio ajue/akubali kuwa hapa hamna mapenzi ama???!!!poor them!!! Nachukia huu ujinga na uko pande zote sijui ni kwanini tunakuwa wagumu kuelewa.
Ngoja nikuchekeshe my ex-boyfriend aliniambia hatuwezi kuachana vizuri simply bcoz akiniona na mtu mwingine atakua na wivu....lkn tukigombana anaweza kunichukia na asinionee wivu!!! Mungu anisamehe yaani nilimdharau sijawahi kuona. Niliachana na ex-hubby kwa maugomvi na bado mpaka kesho ana wivu na mimi utafikiri mkewe na wakati yeye amesha move on,sasa what is that????
Binadamu tuna matatizo sana aiseee naona kuna vitu tumeamua kuvikremisha kuwa bila maugomvi basi penzi bado lipo hakuna lolote u don't have to fight if u don't want to. Just move on with your life and leave the past behind u. Mkikutana salimianeni chekeni kama nothing happened, kwanini ujenge hatred jamani??? Maisha yenyewe mafupi kwanini tuwekeane vinyongo visivyokua na msingi??!!!!eti kisa mapenzi...........I HATE IT!!!!!!
 
sasa wewe moskito.............. niapologize for what??? kuachana nae, kuomba kazi pale au nini??

aisee, yani unazidi kuninyima mileage

Sioni sababu za msingi za wewe kuanza kuongelea tena issue amabayo imeshapita,kama yy anaona ni sawa anachofanya akalale mbele akikua ataacha......swine!!!!!!!!!!!
 
Mi naona hauhitaji kutumia nguvu sana, ni kukutana na kumwambia vzr kuwa umechoka na hautapenda kuendelea naye. Haina haja ya kutumia maneno makali ya kuumiza kama kweli wewe uliyeamua kumuacha unamaanisha kiukweli kufanya hivyo. Ni vyema kuachana kwa amani.
 
Make sure ukiachana na mtu, achana nae kwa heshima zote maana in life you never know...
 
The best way is ghosting. Wote mnakaa kimya bilq closure au comments. Kila mtu anaendelea na maisha yake bila maelezo
 
Kuliko kupigwa matukio bora mtu akwambie ukweli tu
Kuwa tuachane , hakuna kitu kinauma kama kufanyiwa vituko maana unajiuliza ndio hanitaki tena au bado ananipenda, hio situation inauma kuliko kuambiwa direct
Ukifahamishwa kuwa tuachane unaumia sana ila mwisho wa siku unakubaliana na Fact kuwa hutakiwi maisha yanaendelea unapata mtu mwingine anakusahaulisha yote tena unashukuru ulivyoachika japo ilikuuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom