Hii habari ilinipita.... Ndio mambo gani haya??? That is so dirty....
And I like the guy soo much, na kumuweka nafasi ya baba tena mwenye busara....
Fikiria hadi wameamua kutangaza of getting married, watakua walianza sex siku nyiiiiingi huko nyuma....
Guys mnaweza kutaja denzel washington bila kutaja "mississipi masala?" ukitaja hiyo maana yake umemtaja denzel. Halafu kuna kitu kinaitwa inside man cha akili vibaya sana. Kwenye pelham 123 mimi naona travolta alijirahisisha sana kwake ili denzel aonekane mshindi lakini kwa wote tunaomfahamu travolta huwa sio rahisi kivile. Kwenye siege nilipenda sana alivyoielezea vita ya ugaidi.
Wandugu najaribu lakini nashindwa kabisa kuangalia movie bila subtitle naona kama kuna maneno yatanipita. Naomba msaada wenu nifanye mazoezi gani ili niweze kumudu?
Hii ndio Dunia na hayo ndio mambo waja wa dunia hii tunahangaika kuyafanya. sometimes ni ngumu sana kuyaelewa.
Am well thanks AD. Hope morning weather did not make you go late to work!Inauma saana that Morals zinaenda zikishuka kwa kasi....
Sijui tunaelekea wapi... Only God knows that kwa kweli....
Good morning Ndahani....
Mkuu umeiweka vyema sanaDenzel's Oscars remains the purest Oscar among those won by black actors and actress.He won his awards in roles that could be played convincingly by both whites and Blacks.
Mfano,roles za Whittaker kwenye The last King of Scotland na Jamie Fox zisingeweza kuchezwa na wazungu.
Kwenye Mississipi Masala... ni kama vile a warm up of other movies... Inside man waliipanga vizuri... Wale actors wengine wawili nawapenda mno (Clive Owen & Jodie Foster), hivo to me it is a great movie. Hio ya Pelham give the guy a credit bana.... mbona naona kama roles zao walizicheza vilivo? Ulitaka Travolta acheze kama kwenye Face Off? lol.... Nakubaliana na wewe kuhusu the Siege...
Mkuu si unamjua Travolta na tambo zake acha face off kwenye Sword Fish ndio aliniua sana na Broken Arrow. Lakini mimi nimeshindwa kuielewa DEVAVU!

sorry nilimaanisha DEJ'AVU
Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!
bonge moja la POINT,denzel bado mchumba kwa travolta,MxGuys mnaweza kutaja denzel washington bila kutaja "mississipi masala?" ukitaja hiyo maana yake umemtaja denzel. Halafu kuna kitu kinaitwa inside man cha akili vibaya sana. Kwenye pelham 123 mimi naona travolta alijirahisisha sana kwake ili denzel aonekane mshindi lakini kwa wote tunaomfahamu travolta huwa sio rahisi kivile. Kwenye siege nilipenda sana alivyoielezea vita ya ugaidi.
Mbona ndio sifa yake kubwa sasa?Mkuu umeiweka vyema sana
big up.... didnt think of it that way...:attention:
Nimeamini kweli this is one of your BEST..lol.. Umeleta Godfellas Nimekumbuka the Discussion we had in a Thread ya Voice of Reason (I miss the guy); Boss, You and several others... na kila mtu alikubali kua hio ni one of the all time best gangster movie... Hapa hadi nimemmiss The Finest and Eqlypz.
Yeah naipenda sana Out of time. Halafu mwishoni anamalizia kwa kusema"that's what you get when you leave your wife"akimjibu jamaa kuhusu kilichotokeaMkuu hio muvi hata mie naikubali kinoma....OUT OF TIME kama hujaiona wadau hebu chekini jinsi mzee denzel alivyopigwa changa la macho na kidosho/hawara akatoroka na pesa za ushahidi za FBI...denzel kama afande wa polisi na mkewe anayedai talaka eva mendes akiwa kama mpelelezi....kinachofuata hapo tafuta muvi ujionee
Uhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!
Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.
Kama unapenda Science fiction angalia Dejavu. Btw film nyingi za Denzel zina family themes na sio zote ni actions. Angalia kwa mfano out of time,hapa unajifunza madhara ya kumwacha mke wako wa ndoa au mme wako wa ndoa bila sababu ya msingi na ikiwa bado mnapendana.Movie nyingi sana za Denzel ni Heroic lakini zina mafundisho sana.Angalia mbili tatu tu hivyo utaniambia. Anza na Mississipi masala lolUhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!
Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.
kuna mtu anafahamu picha za mogan freeman akiwa kijana? mimi nimeanza kumuona akiwa mzee tu.
Mkuu si unamjua Travolta na tambo zake acha face off kwenye Sword Fish ndio aliniua sana na Broken Arrow. Lakini mimi nimeshindwa kuielewa DEVAVU!
Goodfellas is the best....that's gang'sta right from the scratch...the first word of the film from Ray Liota"As far back as I can remeber, I always wanted to be a gangster".....Love that movie!
Back to My hero Denzel, I remember this quote " A hungry negro steals a chicken he goes to jail, a rich businessman steals bonds and he goes to congress."That's from the great debators!
Uhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!
Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.